Mpangaji mwenzangu ameninunia kisa siku hizi nimeacha kumtekenya

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,810
15,070
Wakuu habari?

Kama mnavyokumbuka kuna siku nilileta uzi humu kuwa natangaza kuachana na pombe rasmi kutokana na kushndwa kuicontrol na kujikuta nikifanya ishu za ajabu.

Asa enzi za ulevi wangu nilikua kila nikirudi nyumbani kuna mpangaji mwenzangu hapa tena kahamia muda si mrefu na ni mwalimu wa secondary nilikua na kawaida nikimkuta kainama either anafua au anaosha vyombo namtekenya au namshika nyonyo alafu na yeye hata hakasiriki anakua anachekelea tu.

So tangu nimeacha pombe na tabia za hovyo nazo nimeacha, ila nashangaa huyu bibie kaninunia coz kila nikimsalimia anaitikia kama hataki alafu anakua kama anabenua mdomo.

Wakuu, nifanyaje ili kuweka mambo sawa na jirani yangu?
 
Wakuu habari?
Kama mnavyokumbuka kuna siku nilileta uzi humu kuwa natangaza kuachana na pombe rasmi kutokana na kushndwa kuicontrol na kujikuta nikifanya ishu za ajabu.Asa enzi za ulevi wangu nilikua kila nikirudi nyumban kuna mpangaji mwenzangu hapa tena kahamia muda si mrefu na ni mwalimu wa secondary nilikua na kawaida nikimkuta kainama either anafua au anaosha vyombo namtekenya au namshika nyonyo alafu na yeye hata hakasiriki anakua anachekelea tu.so tangu nimeacha pombe na tabia za hovyo nazo nimeacha,ila nashangaa huyu bibie kaninunia coz kila nikimsalimia anaitikia kama hataki afu anakua kama anabenua mdomo.
Wakuu,nifanyaje ili kuweka mambo sawa na jirani yangu?
uko mkoa gani kubabeck maana wengine ma baby zetu waalim af wako mbali...unanistua ujue..
 
Back
Top Bottom