Mpangaji mkorofi, tutamfukuzaje?

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni kuwa Muislam au ni Mkorofi? Hebu jieleze vizuri. Naona unajichanganya.
 
Ndugu, wewe ni mkorofi zaidi ya huyo jirani yako. Nilijua nyumba yako unataka kumuondoa mpangaji!
1 umeme lalamiko limetokea kwa baba mwenye nyumba, wewe ndo uliwekwa muwakilishi wake? Na kodi unamkusanyia wewe? Acha kutia pua kwenye yasiyokuhusu! Kama kuna mtu ana issue na mtu mwingine, hata akikuambia huhusiki kuifikisha!
2 uislamu wake unahusianaje na utumiaji wake wa umeme?
Hata kama wewe ni mkristo, biblia inasmea 'tafuta kuwa na amani na watu wote...' Kama hapo panakushinda hama!
 
Tatizo ni kuwa Muislam au ni Mkorofi? Hebu jieleze vizuri. Naona unajichanganya.

kwetu Unguja mjini, ukitaka kumkodisha nyumba muumini wa kikiristo kwanza unatakiwa umjue ni muumini wa kanisa gani. maana akiwa mkatoliki ujue unatafauta ugomvi, mara atakwambia mara joto, mara usifungue redio sana, mara nataka maji yatoke kila wakati, mara aatkwambia waislam hamkusoma.
 
Kwe kwe kwe!! Nendeni shule jamani!madrassa na dunia ya kisasa tofauti!
 
kwe kwe kwe!! Nendeni shule jamani!madrassa na dunia ya kisasa tofauti!
uzuri zaidi serekali ya zanzibar imeshikwa na waislam watupu ambao wanaambiwa hawakusoma. Hakuna mkiristo na manedelo yapo kuliko tanganyika yenye wasomi wa kikiristo rushwa inakua kwa kasi. Umaskini unakuwa, unyama unakua kwa kasi ya ajabu
 
kwetu Unguja mjini, ukitaka kumkodisha nyumba muumini wa kikiristo kwanza unatakiwa umjue ni muumini wa kanisa gani. maana akiwa mkatoliki ujue unatafauta ugomvi, mara atakwambia mara joto, mara usifungue redio sana, mara nataka maji yatoke kila wakati, mara aatkwambia waislam hamkusoma.

Umenichekesha sana MM kwa post hii...
 
kwe kwe kwe!! Nendeni shule jamani!madrassa na dunia ya kisasa tofauti!

hahaha. Huku kwetu tunavyuo vikuu 5 vimefurika, na haturuhusu wasiokuwa waislam kusoma. Mara wataleta vurugu ili vyuo vifungwe tukose kusoma.
Na uzuri zaidi serekali yetu ni waislam watupu, mambo ni safi, technology inakuwa kwa kasi sana tofauti na kwenu mnawanyima fursa waislam nchi inazidi kuyumba
 
Mtauana na udini wenu. Mimi ni mkristo nina rafiki zangu wakubwa waislam. Siku ya ijumaa nawakumbusha waende msikitini na mimi j2 naenda kwa kanisa. Siku naenda kupata kitimoto naenda kivyangu bila kuwakwaza. Kinachowashinda watu walio wengi (Dini zote) ni fikra potofu kuwa mu bora kuliko wengine. Huwezi amini ni marafiki zangu mno. Dini haijawahi kutufikirisha huu upuuzi wa kibaguzi. Muhimu ni kuvumiliana, kuelewa tofauti zetu na kuheshimiana.
 
bahati mi ni Mkristo,kwa kuwa nimezaliwa na kujikuta hivyo...(nadeclare interest)
Unadhani kuna shida basi? Tatizo kuna imani iliyojengeka kuwa,Waislamu walibaguliwa hapo enzi za awamu ya kwanza,na wengine wanasema kuna mfumo unaokandamiza wafuasi wa dini hiyo..

Ila kwa Waislamu wengi,wa kuzaliwa seventies habari hiyo hawana,sanasana wanaisikia kwenye mihadhara ya mabarabarani(mf. Manzese),na baadhi ya misikiti. Nao baada ya swala,huondoka na kuacha mihadhara ya aina hiyo ikiendelea..
 
Acha kutumia umeme,
nunua taa ya chemli na mishumaa,
khs kumfukuza unapoteza muda wako kama mwenye nyumba hajaliona hilo
 
asa uislamu na umeme wa nyumba mnayoishi na ukorofi wa mpangaji mwenzenuvinauhusiano gani? wewe una kitu unaficha hujatueleza vyema .na inaelekea mnachuki binafsi na huyu bwana......................
 
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya mwenye nyumba kumshutumu anatumia umeme vibaya'basi mimi nikamwendea na kumwambia kwa nia ya kubana matumizi ya umeme'alinijia juu kinoma akidai hanijui wala hanitambui na kuanzia sasa sitakaa nikuheshimu tena'nilishangaa sana kwa sababu ilikuwa ni issue ndogo lakini ilifika mbali huku akionyesha dalili za kutaka kupigana na mimi'siku za nyuma keshapigana na wwatu wawili tofauti kwa sababu ya mambo ya kijinga'yeye ni fundi machanical keshafukuzwa garage kwa sababu ya ujuaji na maneno mengi'jamani nisaidieni nimwondoeje hapa maana wote tumepanga na jamaa hajui kuishi na watu'nifanyeje ili ahame huyu mwislam???

Hama wewe mwenye chuki; kwa nn ubane matumizi ya umeme kama huna pesa si ungepanga nyumba isiyo na umeme; Mliambiwa msije mjini...
 
Wewe ndio unaanzisha udini...una matatizo na uislam and not his behaviour.....sasa hamia kwa wakirisitu wenzio achana na huyo mujahidina.
 
kwetu unguja mjini, ukitaka kumkodisha nyumba muumini wa kikiristo kwanza unatakiwa umjue ni muumini wa kanisa gani. Maana akiwa mkatoliki ujue unatafauta ugomvi, mara atakwambia mara joto, mara usifungue redio sana, mara nataka maji yatoke kila wakati, mara aatkwambia waislam hamkusoma.

lol makubwa haya
 
hahaha. Huku kwetu tunavyuo vikuu 5 vimefurika, na haturuhusu wasiokuwa waislam kusoma. Mara wataleta vurugu ili vyuo vifungwe tukose kusoma.
Na uzuri zaidi serekali yetu ni waislam watupu, mambo ni safi, technology inakuwa kwa kasi sana tofauti na kwenu mnawanyima fursa waislam nchi inazidi kuyumba

Aaha! Sasa sheigh huko kwenu zanzzibar hakuna wakristo?
 
hama wewe mwenye chuki; kwa nn ubane matumizi ya umeme kama huna pesa si ungepanga nyumba isiyo na umeme; mliambiwa msije mjini...

hahahaaa waliambiwa wasije town sio?
Hapa utakuta matumizi wanayosemea
ni ya radio,tv,na vitu
vidogovidogo
yaani uswazi sometimes kunakero
sana,hasa yale majitu
yanayoshinda nyumbani
kinyaa kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom