Mpambanaji lwakatare yuko wapi?

mohermes

Senior Member
Oct 19, 2010
124
28
Naomba kufahamishwa kuhusu mpambanaji Wilfred Muganyizi Lwakatare,Mkurugenzi Oganaizesheni ya Intelensia ya CDM, make nimekuwa simuoni katika harakati za hivi karibuni.
 
Yuko Bukoba hata kwenye maandamano ya juzi kazi kule Bukoba alikuwepo.
 
Kamanda alisimamia pilika zote kanda ya ziwa alikuwepo mwanza nilimuona na alitambulishwa watu Tukashangilia, hope atakuwa kno kwa ofs, anaendelea kuratibu nxt maandamano
 
Mara ya mwisho mbona nilimwona kama CCM wamempiga kipapai, au nilikosea nilimuona mtu mwingine!
 
Yupo makao makuu dar,anaratibu masuala ya usalama.kumbuka Dr.anatishia kuuawa,so ana kazi nyeti ya inteligensia.pia anapokea ripoti za utendaji nchi nzima.unajua cku hizi ana majukumu mengi ya chama,taifa
 
Naomba kufahamishwa kuhusu mpambanaji Wilfred Muganyizi Lwakatare,Mkurugenzi Oganaizesheni ya Intelensia ya CDM, make nimekuwa simuoni katika harakati za hivi karibuni.

I met him in MOSHI last year aliniambia ana kijana wake yuko shule moja ya kimataifa pale mjini moshi(jina la shule kapuni) coz wabongo amchelewi kuchunguza ada ya shule,anawezaje kulipa ada ya shule kama ile! anyway kwasasa nahisi anajenga chama baadaa ya kuchakachukuliwa kwa mara ya pili mfululizo.
 
pAMOJA NA SHUGHULI NYINGINE ZA KITAIFA, RWAKATARE NI MWENYEKITI WA CDM MKOA WA KAGERA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom