Mpaka wa Tanzania na Rwanda

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
Salaam wanaUkumbi,

Naomba mwenye kujua mpaka sahii kati ya Rwanda na Tanzania anifafanulie. Ramani nyingi zinaonyesha tofauti. Na je, kumewahi kuwako ubishi wa mpaka kati ya Tanzania na Rwanda? Nafahamu Tanzania na Uganda wamekubaliana na kuweka beacons mpya katika mpaka wao.

Natanguliza shukrani.
 
Tuwekee map au hata coordinates ili tuone kama ni sahihi au la!
 
mi mbona naona mpaka upo wazi kabisa, maana ukipita Rusumo unaona kuna mto Akagera ambao unatenganisha Tanzania na Rwanda
 
Back
Top Bottom