Mkuu vipi hiyo ramani yako,we mmalawi nini?Hebu weka huo mstari katikati ya ziwa nyasa tafadhari!
Mkolawake acha mzaha na mipakateh, teh, teh, nilijaribu kutest nione kama mnafahamu mipaka
Mpaka unapitia temeke chang'ombe,kigogo,magomeni, mwenge, mbezi. bunju kwenda baharini ni sehemu ya Zanzibar!
tujiulize tanganyika ilipopata uhuru tarehe 09/12/1961 mipaka yake ilikuwa ipi, na zanzibar ilikuwa wapi wakati huo, na zanzibar ilipopata uhuru kabla ya mapinduzi mipaka yake ilikuwa ipi, isije ikawa walipindua serikali yao kwa malengo ya kuungana na tanganyika ili ipate uhalali wa kupindua sehemu ya ardhi ya tanganyika. Moto utawaka baharini, mimi nipo tayari kwa lolote lile, liwalo na liwe.
Mpaka wa Tanganyika na Zanziba bila shaka uko ziwa Nyasa
zanzibar ni himaya ya sultani oops zanzibar sio nchi ssa jamaa wale wanatunza sana bikra ya mbele na kuharibu ya nyuma hamjui?
Tujiulize Tanganyika ilipopata uhuru tarehe 09/12/1961 Mipaka yake ilikuwa ipi, na zanzibar ilikuwa wapi wakati huo, na zanzibar ilipopata uhuru kabla ya mapinduzi mipaka yake ilikuwa ipi, isije ikawa walipindua serikali yao kwa malengo ya kuungana na Tanganyika ili ipate uhalali wa kupindua sehemu ya ardhi ya Tanganyika. Moto utawaka baharini, mimi nipo tayari kwa lolote lile, liwalo na liwe.