Mpaka saa hii bado tu?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hivi jamani mpaka saa hii JK hajatoa tamko au hajaamka? Mimi nilitegemea pale Kisutu saa hizi David Jairo yuko kwenye msitari akisubiri kupanda Tdi ya polisi kuelekea Keko! Yaani hata hapo tunasubiri ushauri? Tanzania!
 
Nadhani kampeleka mdogo wake HoneyMoon SA...ngoja akale bata kwanza!! Nyie kaeni na giza!! Kwani hukumbuki alisema kwamba Ngeleja sio tatizo, tatizo ni mvua??
 
hili jambo gumu sana kwake, ataunda kamati kwanza na baada ya miezi sita itatoa ripoti kwa rais, ataipitia ripoti na baada ya miezi mitatu rais atafanya maamuzi magumu ya kumtoa kwenye hiyo wizara na kumpeleka kwenye wizara nyingine, hii ndio TZ zaidi ya uijuavyo, kazi ipo.
 
Kwa kweli sijui kwa nini hawabadilishi sheria kuwa kikwete asiwe muamuzi wa kuamua hukunmu bali kusaini tu ikisha pitishwa
 
watatudanganya kuwa masaa ya South Africa ni tofauti sana na hapa kwetu kwa hio kule bado ni usiku sana bado hajaamka au labda hakuna umeme!!!
 
''rais wangu bado hajatua SA, akitua nitamueleza hili jambo tutjadiliana halafu atatoa maamuzi'' TZ PM 18th July 6 pm.

LABDA RAIS BADO HAJATUA.
 
Yuko anatafakari amtoweje mshikaji wake kwenye soo...
Mheshimiwa rais hiki ni kipindi kigumu sana kwako ,hasa baada ya rostam kumwaga manyanga
 
Enyi wadugu wa CCM, Anayejiona yuko swafi sana awe wa kwanza kumtupia jiwe JAIRO bwana, Amen
 
Enyi wadugu wa CCM, Anayejiona yuko swafi sana awe wa kwanza kumtupia jiwe JAIRO bwana, Amen
Ameambiwa aeleza zile fedha zimepelekwa wapi kwa maana kwenye akaunti pale NMB zillingia halafu zikatolewa, Sijui itakuwaje atakapotaja akaunti za wakubwa ambazo zimeingiziwa mgao!
 
Back
Top Bottom