Mpaka Kieleweke Si Mbowe

Status
Not open for further replies.
Naona ni vizuri kujifunza kutamka kitu kilichonyooka na ukikisema uwe na uhakika na hata ujiandae na ushahidi kama utahitajika.

Kusingiziana kwa namna yeyote ile ni sumu kubwa kwa maisha ya forum hii.... nimekua msomaji mkubwa sana wa hii forum na sasa nimeamua kuingia rasmi kama mchangiaji , na post hii ndio ya kwanza kabisa kwangu katika hili jamvi..hii nikutokana na mguso nilioupata kwa kusoma thread hii.

Please lets forget about kujuana humu ndani..maana tukianza kujuana hapatakalika hapa...hiii ya kutokujuana na kutokua na nia ya kutaka kujuana ndio inayoleta chachandu kubwa katika mijada ya hapa...tukishajuana tutakua kuwa hatuthubutu tena kuongea kwa uwazi..na forum hii itakua useless na ndio itatupiwa baharini kabisa..itabaki kuwa ni ya kuchati tu na hoja za mapenzi na vichekesho/jokes...so lets avoid this wana JF kama tunataka hii forum iwe chachu ya maendeleo kwa nchi yetu hii tuipendayo kwa dhati.

Kwa hili nakupa pole sana Bwana FMES, and i hope this wont affect your immense contribution in this Big forum.
 
Yawezekana mimi ni maarufui pia , huenda siku moja nikataka kugombea JF President naweza kushinda kwani sitakuwa na haja ya kufanya kampeni kwani hizi ni kampeni tosha.

Kuna wachache ambao nawaamini wananijua,ila wapo wengi sana wanataka kunijua kuwa mimi ni nani itawachukua karne nyingine moja sasa sijui nitakuwa kikongwe sana maana mpaka sasa nimezeeka kiasi.

Ninaishi nje ya dunia ila nina mawasiliano ya karibu sana na duniani kwani niliwahi kuishi humo zamani za kale.

Anayetaka kunifahamu sharti awe na uwezo wa kuishi nje ya dunia na ndani ya Ardhi....
Mie nakufahamu ina maana tayari nina uwezo wa kusihi nje ya Dunia na Ndani ya Ardhi...ha ha ha ha

sikulijua hili
 
Manuva kweli wewe mgeni, mbona wengi waambiwa wanajulikana na sio kweli? pitia thread zaidi.
 
Kwa hili nakupa pole sana Bwana FMES, and i hope this wont affect your immense contribution in this Big forum.

Mkuu wangu heshima mbele, I am big boy wala usiwe na wasi wasi, ingawa bado ninajaribu kuutafakari kwa makini ujumbe hapa ambao ni Mbowe na Chadema,

Mengine ni hadithi tu, lakini the main hapa ni Mbowe na Chadema kuwa wasiguswe hapa JF. I am big boy wala sihitaji pole bro haya ni madogo sana ni suala la mahesabu tu ambayo nitayapiga na kutoa jawabu tena very soon maana sasa kuna wanaodhani wanweza kunitisha sasa labda niwauridshie vitisho vyao kwa sababu sijwahi kutishika hata siku moja kwenye maisha yangu! huwa sitishii na wala sitishiki, ila nina heshima kwa anayetaka tu!
 
Kwamba Mbowe ndiye Mpaka Kieleweke ni uongo. Kwamba FMES amewahi kusema Mpaka Kieleweke ndiye Mbowe ni uongo vilevile, labda kama alisema nje ya forum hii.

Hivyo basi tusipoteze muda kujadili kitu ambacho hakipo. Kwa upendeleo, hii mada inaweza kusogezwa kwenye udaku haraka sana, vinginevyo ni vizuri ikaondolewa. Hakuna ubaya pia kama dada Asha atamtaka radhi FMES, hata kama ni pembeni huko PM, kwa kumzushia kajambo!

Tuendelee na mijadala mingine tafadhali.
 
Mie nakufahamu ina maana tayari nina uwezo wa kusihi nje ya Dunia na Ndani ya Ardhi...ha ha ha ha

sikulijua hili

Acheni hisia ,wanaonijua ni wachache kuliko ninaowajua ......kheri kujulikana kuliko kujuana .......itawachukua karne kunifahamu kwani wengi mnajitahidi kunihusisha na watu fulani fulani ndani na nje ya CHADEMA.

Rudini kwenye mjadala wa Akwilombe mnaweza kupata mchango wangu na hizo hisia zaweza kupotea kuwa mimi ndiye....

Wakamuuliza wewe ndiye ama tujiandae kumpokea masihi mwingine? akawaambia nyie mwasema.......

Wakasema huyu ndiye ......akawajibu itawachukua karne na nitakuwa kikongwe............

Tukate ishu haya mambo ya namjua .....simjui ..namfahamu ,namuelewa ,na mengineyo kama hayo .......hayana faida kwenye kulinda rasilimali za taifa letu.
 
Sasa wakulu hawa wanaanza kutushangaza.

Wakati huu ambao taifa liko njia panda na mafisadi wakicharuka kuogopa kufikiwa na mkono wa watanzania, waliokuwa wanaongoza ktk mapambano ya kupata dataz na mipango ya mafisadi wameanza kugeukana na kutaka kujua nani ni nani. Sijui hii itasaidia nini?

Nafikiri wakija kusituka mafisadi watakuwa wameisha badili njia na mbinu hili wasipatikane tena.

Hapa naona kuna mtego umetegwa hili mafisadi waweze kujipanga upya.
 
Sasa wakulu hawa wanaanza kutushangaza.

Wakati huu ambao taifa liko njia panda na mafisadi wakicharuka kuogopa kufikiwa na mkono wa watanzania, waliokuwa wanaongoza kupata mapambano ya kupata dataz na mipango ya mafisadi wameanza kugeukana na kutaka kujua nani ni nani. Sijui hii itasaidia nini?

Nafikiri wakija kusituka mafisadi watakuwa wameisha badili njia na mbinu hili wasipatikane tena.

Hapa naona kuna mtego umetegwa hili mafisadi waweze kujipanga upya.

yaani hakuna kupigana na mafisadi! viscious circle?????? ama kweli Tanzania ya vimbenelehi sijui ndondocha, iliyobaki kutengeneza strategies na moja baada ya nyingine from A, B to C.
 
Kwamba Mbowe ndiye Mpaka Kieleweke ni uongo. Kwamba FMES amewahi kusema Mpaka Kieleweke ndiye Mbowe ni uongo vilevile, labda kama alisema nje ya forum hii.

Hivyo basi tusipoteze muda kujadili kitu ambacho hakipo. Kwa upendeleo, hii mada inaweza kusogezwa kwenye udaku haraka sana, vinginevyo ni vizuri ikaondolewa. Hakuna ubaya pia kama dada Asha atamtaka radhi FMES, hata kama ni pembeni huko PM, kwa kumzushia kajambo!

Tuendelee na mijadala mingine tafadhali.

Nilisema sitachangia tena hapa lakini kwa kuwa nimetakiwa kuomba radhi naomba niseme maneno machache ya mwisho kabisa.

1. FMES amekiri mwenyewe kuwa ni kweli hapa kuna watu wameanzisha maneno kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe. Na amekiri kwamba ni kweli kwamba alimkataza asifanye spin. Sasa nendeni kwenye mtiririko wa yale maongezi na someni na mchango wangu nilivyoandika hapa. Aliyeanza kusema anajua identity ya Mpaka Kieleweke kwenye ile thread ni FMES aliyesema kwamba kuwa anafahamu mkuu aliyeko nyuma ya jina la mpaka kieleweke. Na kwamba aache spinning aseme ukweli wa uamuzi aliyochukua kuhusu Chacha Wangwe. Madai haya ya FMES ndiyo yaliyojenga msingi kwa mtu mwingine kusema kwamba mpaka kieleweke ni MBowe. Baada ya maneno ya mtu huyu, FMES kama kweli hakuwa na msimamo wa kudhani kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe hakujitokeza kuweka sawa, badala yake akaendelea. Na hii ikafanya huo uzushi uaminike zaidi mpaka wakina Jmushi nao wakaingia katika huo uzushi. Kwa hiyo FMES alianzisha uzushi huo by implication na heshima yake katika hii forum ikatumika kuhalalisha uzushi huo. Kama mimi kwa kusema maneno haya nimesema wongo, basi namuomba radhi bwana FMES.

2. Yeye kwa kusema anafahmu kwamba mimi si Asha, ni mtu mwingine basi anapaswa kuniomba radhi pia. Angekuwa amefanya mara moja nisingitoa mwito wa yeye kuniomba radhi lakini hii ni mara ya Tatu bwana FMES anarudia maneno hayo. Ndio maana nikaomba mods wamruhusu aseme Asha Abdala ni nani kadiri ya anavyodhani yeye ili uzushi wake uweze kubainika. Nakuheshimu sana FMES kwa nondo zako hapa lakini unachonikera siku zote ni tabia yako ya kujifanya unajua ID za watu, ni ishara ya ya kushindwa hoja na kuzua vioja. Je, ni uzumbukuku ulimwengu uko huku au ni kuteleza tu kwa kawaida ndugu yangu?

Halafu unazua hoja ya kibaguzi ya kuwatisha watu hapa kuwa hii thread nimeanzisha ni suala la Mbowe na CHADEMA wasiguswe JF. Wakati nawatetea wengine mbona hukusema haya? Wakati namtetea Lowassa mbona hukusema haya? Nimeanzisha hii thread kwa ajili ya kumtetea Mpaka Kieleweke na kuteteta standard za JF yetu tukufu. Niite PRO wa JF au wa Mpaka Kieleweke kama ukipenda lakini ukweli utasimama.

Sijawahi kuona ukimlaumu Mwafrika wa Kike kwa Kumtetea Mwanakijiji wala sijawahi kuona watu wengine hapa wakimtetea Zitto Kabwe ukisema ni CHADEMA ni ya JF.

Why me? Is it because mimi na wewe tulibishana sana kuhusu Chama Cha Mafisadi na yule mzee wetu unayempenda?

Don't take it personal. Natangaza rasmi kuwa katika hili wewe ndio umeshinda, haya mods, ipelekeni kwenye udaku. Lakini narudia tena: Message delivered, kama maneno mkuki....

Asha
 
hizi reasoning nyingine za ajabu... kama mtu hataki kujulikana aliko pia kinakushangaza kitu gani? Kuna vitu ambavyo "Mpaka Kieleweke" amekuwa akiviweka hapa au ana access navyo hapo nyumbani na amekuwa akiviweka hapa na kwa usalama wake yeye mwenyewe au sources zake hataki kuthibitisha wapi aliko au yeye ni nani.

Miye naona JF inakabiliwa na tishio la identity yake. Tunataka kuwatisha watu ambao ni kiungo kikubwa kati ya JF na ndani ya serikali. Tunapojaribu kutaka kuwafahamu watu walioko nyuma ya majina haya tunahatarisha the very spirit that created this forum. If we can not protect the sacrosanct idea of anonymity tunatengeneza the very recipe for the demise of this forum.

I beseech each one of you, humbly I do; tuache haya ya majina, ni mlango ambao hatutaki kuupita. Wakati wengine tunaweza tusipate matatizo sana lakini wengine imani ya watu na habari tunazotoa is based on this trust that people have in us kutupa information n.k

Yawezekana kuna faida fulani fulani ya kulaziimisha kumjua fulani, ila hasara yake ni kubwa kweli.

A friendly observation and petition.

Hii ya kwako ndio naona ya ajabu zaidi

Sasa kama hataki ajulikane aliko kwanini mdanganye mara mbili mara yuko nje na hapo hapo yuko dodoma.

Hiyo ndiyo reasoning nzuri ?? Reasoning yoyote inayopoteza kumbukumbu ni ya ajabu sana tena sana
 
Ninaishi nje ya dunia ila ndani ya ardhi.

Kuhusu uwepo wangu dodoma inawezekana mradi hiyo dodoma iwe nje ya dunia ndani ya ardhi.
 
Ama kweli, mkuki kwa kondoo!

Kuhamanika kwako ni ishara kwamba ujumbe umefika. Msumari unachoma kote kote kwa kweli

Hebu kumbuka mjadala wa Chacha Wangwe kusimamishwa! Ni wewe uliyeanza kusema unajua nani yuko nyuma ya jina la Mpaka Kieleweke. Halafu wenzio wakadakia kusema ni Mbowe. Wala hukukanusha badala yake ukatoa hitimisho kwa kumwambia kwamba njia aliyotumia kueleza ukweli kuhusu Chacha si nzuri na ukamwambia anyamaze au atafute wengine waseme kwa niaba. Baada ya hapo wengi zaidi wakadakia huu uzushi ikiwemo Jmushi. Hakuna aliyekemea hali hii. Leo hapa nashangaa kila mmoja amekuwa mkemeaji! Hamkuyaona wakati huo? Au mmeona sasa yatavuka mipaka?

Double standard! Wakati bwana mmoja humu alianza uzushi wake kwamba mimi ni Kitila Mkumbo wengi mlikuwa mkitazama tu mpaka pale ilibothibitika kwamba bwana yule alikuwa mwongo na mzandiki. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa hali hii ni muhimu ikakemewa mapema. Nimeamua kuonyesha mfano tu.

Halafu unaanza tabia yako ya kunitisha kuwa unajijua kuliko ninavyojijua, unamjua Asha wewe? Hebu sema hizo pumba zako hapa,mod mruhusuni huyu Bwana amwage hizo pumba zake hapa ili pumba zijulikane pamoja na kuwa rules zetu zinakataza kusema hebu mruhusuni japo kidogo maana amezidi kile siku 'nakujua asha nakujua asha' unatadhani alileta posa kwetu!

Kama nimekukura sana hamishia vitisho na matusi yako kwenye http://ashawazenj.blogspot.com. Hapa ni ukumbi wa wastaarabu bwana, nawaheshimu sana hapa. Nikianza kufungulia mipasho hapatashikika!

Asha

BTW: Kichunguu, umenirejesha kwenye furaha eti wewe ni Lowassa! Baada ya kutoka ofisi ya Waziri Mkuu access ya mtandao wa bure imepungua nini?

Asha
Acha SPIN watu wote wazima
Kati ya mpaka kieleweke(aka) na HOLLO CHenge kipi kilianza?? ama si jui nani na Makamba kipi kilianza??

Alipotajwa mbowe tu watu wakasimama tukakubali matokeo lakini HOLLO chenge akaendelea kutajwa mkajifanya hamkuona tukaomba muongozo wa JF mkapiga kimya ,mara akatajwa mkamap kama Mkapa tukaomba mwongozo wa JF mkapiga kimya tukawaomba basi angalau muwaonye kama mlivyotutisha kufungiwa baada ya kutaja Mbowe wala .

Sasa unataka kutu SPIN mchana kweupe hivii duuuu duuu mko mahili kwa kudanganya yani hadi mnasahau nini kilishadaganywa tayari.
 
Nilisema sitachangia tena hapa lakini kwa kuwa nimetakiwa kuomba radhi naomba niseme maneno machache ya mwisho kabisa.

1. FMES amekiri mwenyewe kuwa ni kweli hapa kuna watu wameanzisha maneno kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe. Na amekiri kwamba ni kweli kwamba alimkataza asifanye spin. Sasa nendeni kwenye mtiririko wa yale maongezi na someni na mchango wangu nilivyoandika hapa. Aliyeanza kusema anajua identity ya Mpaka Kieleweke kwenye ile thread ni FMES aliyesema kwamba kuwa anafahamu mkuu aliyeko nyuma ya jina la mpaka kieleweke. Na kwamba aache spinning aseme ukweli wa uamuzi aliyochukua kuhusu Chacha Wangwe. Madai haya ya FMES ndiyo yaliyojenga msingi kwa mtu mwingine kusema kwamba mpaka kieleweke ni MBowe. Baada ya maneno ya mtu huyu, FMES kama kweli hakuwa na msimamo wa kudhani kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe hakujitokeza kuweka sawa, badala yake akaendelea. Na hii ikafanya huo uzushi uaminike zaidi mpaka wakina Jmushi nao wakaingia katika huo uzushi. Kwa hiyo FMES alianzisha uzushi huo by implication na heshima yake katika hii forum ikatumika kuhalalisha uzushi huo. Kama mimi kwa kusema maneno haya nimesema wongo, basi namuomba radhi bwana FMES.

2. Yeye kwa kusema anafahmu kwamba mimi si Asha, ni mtu mwingine basi anapaswa kuniomba radhi pia. Angekuwa amefanya mara moja nisingitoa mwito wa yeye kuniomba radhi lakini hii ni mara ya Tatu bwana FMES anarudia maneno hayo. Ndio maana nikaomba mods wamruhusu aseme Asha Abdala ni nani kadiri ya anavyodhani yeye ili uzushi wake uweze kubainika. Nakuheshimu sana FMES kwa nondo zako hapa lakini unachonikera siku zote ni tabia yako ya kujifanya unajua ID za watu, ni ishara ya ya kushindwa hoja na kuzua vioja. Je, ni uzumbukuku ulimwengu uko huku au ni kuteleza tu kwa kawaida ndugu yangu?

Halafu unazua hoja ya kibaguzi ya kuwatisha watu hapa kuwa hii thread nimeanzisha ni suala la Mbowe na CHADEMA wasiguswe JF. Wakati nawatetea wengine mbona hukusema haya? Wakati namtetea Lowassa mbona hukusema haya? Nimeanzisha hii thread kwa ajili ya kumtetea Mpaka Kieleweke na kuteteta standard za JF yetu tukufu. Niite PRO wa JF au wa Mpaka Kieleweke kama ukipenda lakini ukweli utasimama.

Sijawahi kuona ukimlaumu Mwafrika wa Kike kwa Kumtetea Mwanakijiji wala sijawahi kuona watu wengine hapa wakimtetea Zitto Kabwe ukisema ni CHADEMA ni ya JF.

Why me? Is it because mimi na wewe tulibishana sana kuhusu Chama Cha Mafisadi na yule mzee wetu unayempenda?

Don't take it personal. Natangaza rasmi kuwa katika hili wewe ndio umeshinda, haya mods, ipelekeni kwenye udaku. Lakini narudia tena: Message delivered, kama maneno mkuki....

Asha

Mwekeni wazi huyo mzee na nani kati yenu alikua upande wa chama cha mafisadi?? ikumbukwe motto wa JF
 
RUZUKU, UKABILA WAIGAWA CHADEMA

CHADEMA ndicho chama pekee nchini kilichokuwa kinaonekana kutokuwa na migogoro, lakini hili la ruzuku na mengine yanaelekea kukigawa katika makundi mawili ya CHADEMA – MBOWE na CHADEMA – WANGWE.

Hali hii imejitokeza baada ya kutokea malalamiko ya wanachama wa CHADEMA kususu masuala kadhaa ya msingi. Masuala hayo yameibua mgawanyo uliozaa makundi hayo mawili na baadaye Mwenyekiti wa chama hicho FREEMAN MBOWE akatangaza kumsimamisha Makamu Mwenyekiti (CHACHA WANGWE).

Kwa tafakuri pana kila Mtanzania alitarajia kwamba kabla ya kumsimamisha Makamu Mwenyekiti, CHACHA WANGWE, Mwenyekiti wa chama hicho alitakiwa kujibu tuhuma moja baada ya ingine ili kujisafisha yeye mwenyewe pamoja na viongozi wengine wa juu wa CHADEMA.

Kimsingi,CHACHA WANGWE anamtuhumu MBOWE katika masuala yafuatavyo:-

Mosi, Kuna matumizi mabaya ya ruzuku (ufisadi wa ruzuku) ndani ya CHADEMA Makao Makuu. Hivyo, CHACHA WANGWE anamtaka Mwenyekiti FREEMON MBOWE atoe maelezo ya matumizi ya Ruzuku, ambayo ni fedha ya walipa kodi inayotolewa na serikali kwa vyama vyenye wabunge. Aidha WANGWE anamtaka MBOWE aonyeshe mapato na matumizi ya Ruzuku hiyo katika vikao vya chama au aunde kamati ya kuchunguza tuhuma hizo. Pia, WANGWE ana mashaka na hesabu zinazoonyesha mgawanyo wa matumizi ya ruzuku yanayopelekwa kwa msajili wa vyama vya siasa kutoka chama cha CHADEMA.

Pili, CHACHA WANGWE hakubaliani na kitendo cha Mwenyekiti na Katibu Mkuu (DR WILBROAD SLAA) kuzuia ruzuku isifike mikoani. Anasema hali hii ina maana matawi ya chama yasifunguliwe na chama kisiwe na ofisi hali ambayo inadhoofisha chama. Vivyo hivyo, WANGWE hakubaliani na kitendo cha MBOWE kufuja fedha za chama kwa ziara za helkopta huku akiwaacha wagombea ubunge na udiwani wa chama chake hawana msaada wowote wa kifedha kutoka katika chama. Katika mazingira haya WANGWE anauliza nani anakihujumu chama kati ya MBOWE na WANGWE? Nani anadhoofisha CHADEMA?

Tatu, CHACHA WANGWE ana hoja kwamba MBOWE, anawajibika kuwaeleza watanzania, ni kwa vipi wabunge watano kati ya sita wa kuteuliwa (viti maalum) wote watoke mkoa wa Kilimanjaro ( MBOWE ni Mchaga wa Kilimanjaro). Ikumbukwe kwamba Tanzania bara ina mikoa 21 na Zanzibar mikoa 5. Kwa kawaida, idadi ya viti maalum inategemea idadi ya wabunge ambao chama kinapata katika uchaguzi mkuu, ambapo asilimia 90 ya viti vya ubunge zilizoleta viti maalum vya CHADEMA zilitoka kanda ya Ziwa. Hivyo, MBOWE kasahau kanda zilizosaidia CHADEMA ikipata viti maalum na kuvipeleka KILIMANJARO.

Nne, CHACHA WANGWE anamtaka MBOWE, aeleleze inakuwaje kati ya wakurugenzi nane wa Idara mbalimbali za CHADEMA wanne ni Wachaga wa Kilimanjaro?

Tano, WANGWE anamtaka MBOWE, aeleze umma wa watanzania inakuwaje Madereva wote wa Makao Makuu ya CHADEMA ni Wachaga kutoka Kilimanjaro?

Sita, WANGWE anataka MBOWE, ajibu tuhuma kwamba yeye mwenyewe, DR WILBROAD SLAA na PHILIMON NDESAMBULO wanajilipa fedha kwa ajili ya kurudisha gharama walizotumia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. WANGWE anauliza mbona wanachama wengine hawarudishiwi gharama hizo akiwemo yeye WANGWE? Je, huu siyo ufisadi? Je huku ni kutenda haki?

Saba, WANGWE anataka kujua ni kwa nini miaka minne iliyopita MBOWE alivunja tawi la CHADEMA mkoa wa DAR ES SALAAM na kubaki na CHADEMA Makao Makuu. Hatua hii imekifanya chama hicho kukosa viongozi na wawakilishi wa chama mkoa wa Dar ES salaam.

Nane, WANGWE anataka kujua kwa nini Wakurugenzi wote wa CHADEMA wameteuliwa na MBOWE badala ya kuteuliwa na Kamati Kuu ya chama kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA. Aidha, Kwa Mujibu wa katiba ya CHADEMA kifungu 7.7.3 (vii), Katibu mkuu anatakiwa kuwajibika kwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekti. Hata hivyo, DR SLAA ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA hakuwa akitoa ushirikiano kwa WANGWE hadi kufikia kumnyima ofisi alipoteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA.

Tisa, Katika moja ya hatua za kumfukuza WANGWE katika Uongozi, Katibu Mkuu aliitisha kikao cha Kamati ya wazee wanne wa CHADEMA lakini kati yao wawili wakiwa wa kabila la Mwenyekiti . Wazee hao wa Kichaga ni EDWIN MTEI ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Wazee wa CHADEMA na PHILIMON NDESAMBULO. Hapo kulikuwa na mgongano wa kimaslahi (conflict of interest). Ikumbukwe kwamba, Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Bw. EDWIN MTEI ni baba mzazi wa mke wa FREEMON MBOWE kwa maana kwamba MTEI ni mkwe wa MBOWE. Mke wa MBOWE anaitwa DR LILIAN EDWIN MTEI ( Hivi sasa anajulikana kwa jina la DR LILIAN FREEMON MBOWE) ni binti wa EDWIN MTEI.

Kumi, CHACHA WANGWE analalamika kwamba suala la kumfukuza liliibuka ghafla katika kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA wakati halikuwemo katika agenda. Inadaiwa kwamba MBOWE ndiye aliibua agenda hiyo. Kwa mujibu wa kanuni za CHADEMA, kama suala hilo lilitakiwa kuwa agenda ilitakiwa lijulishwe kwa wajumbe siku 21 kabla ya kikao ili wapate mawazo ya wanachama. Hata hivyo, liliibuka katika kikao bila mtuhumiwa CHACHA WANGWE kujiandaa. Aidha, katika kuhakikisha kuwa WANGWE anavuliwa madaraka yake kwenye kikao, baadhi ya viongozi waliotakiwa kuhudhuria kikao hicho kwa mujibu wa katibu hawakupata mwaliko kwa sababu ilihofiwa kuwa wangekuwa upande wa WANGWE.

Kwa ufupi WANGWE anadai kwamba kuna ufisadi Makao Makuu ya CHADEMA. Kwamba MBOWE hajatoa maelezo kuhusiana na tuhuma hizo na badala yake anamtuhumu WANGWE kwamba anakigawa chama na kuamua kumsimamisha uongozi.

Katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti uliopita, CHACHA WANGWE hakuwa chaguo la Mwenyekiti MBOWE, lakini aliweza kushinda. Kutokana na kitendo cha CHACHA WANGWE kutangaza kwa mara ingine kugombea Uenyekiti wa CHADEMA katika uchaguzi wa Disemba 2008 amezidi kujenga maadui kutoka Makao Makuu ya chama hicho. Hofu ya MBOWE inatokana na ukweli kwamba, hivi sasa WANGWE anaungwa mkono na matawi mengi ya CHADEMA nchini kutokana na msiamamo wake wa kutenda haki na kusimamia ukweli daima.

Hivyo, MBOWE akamjengea zengwe kwamba, WANGWE anavujisha siri za chama lakini katika kikao cha Kamati Kuu hawakuweza kueleza siri ambazo WANGWE anadaiwa kuvujisha. Kwa sababu hiyo, WANGWE anadai kwamba hakuelezwa siri alizovujisha hatua ambayo inakidhi matakwa ya kisheria kwamba MBOWE amemhukumu WANGWE bila hatia. Hatua hii ina lengo la kukwaza ustawi wa demokrasia na utawala bora katika vyama vya siasa.

Katika hili la kuvujisha siri WANGWE anajitetea kwamba kama kuzungumza na wana CCM ni kosa basi mtu aliyetakiwa kuwajibika ni DR SLAA ambaye mke wake ni diwani wa kuchaguliwa wa CCM wakati mkewe CHACHA WANGWE ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Kitendo cha DR SLAA kuwa na mke mkereketwa wa CCM yamkini Nyaraka za siri za CHADEMA zinaweza kuangukia kirahisi kwa mkewe na hatimae CCM na pia wageni wa CHADEMA wanaofika nyumbani kwa DR SLAA ambako kuna tawi la CCM kwa maana ya mkewe DR SLAA ambaye anawajibika kuwakirimu wageni na hivyo kusikia mazungumzo yao. WANGWE anataka kujua ni nani kati yake na DR SLAA anaeweza kuvujisha siri za CHADEMA?

Aidha, imeonekana kwamba, kutokana na nafasi yake ya Ubunge WANGWE na wabunge wengine wa upinzani wanaweza kujipatia marafiki kutoka chama tawala CCM kama ambavyo Wabunge wa CCM wanaweza kuwa na marafiki kutoka vyama vya upinzani. Urafiki huu unaweza kuwa wa binafsi/kawaida kuliko mambo ya siasa kwa sababu ya uzalendo, hivyo tofauti ya itikadi siyo uadui bali ni suala la kusimamia ukweli kama ambavyo ZITTO KABWE alivyojumuika na wabunge wa CCM katika kamati ya madini ya Bomani.

Pia WANGWE anadai, kwamba kama kuzungumza na wana CCM ni kosa mbona MBOWE amewahi kuonekana akiwa katika mazungumzo na Rais JAKAYA KIKWETE hata kufikia kumkumbatia mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Halikadhalika MBOWE ameonekana katika mazungumzo na viongozi wengine wa CCM, vivyo hivyo wana CHADEMA wengine?

Kwa ujumla kashfa hizi zinakuja wakati bado baadhi ya Watanzania wanahoji uadilifu wa FREEMAN MBOWE. Kashfa ya kukopa na kushindwa kulipa deni la NSSF kwa muda stahiki ilitia mashaka ya uadilifu wa MBOWE kwa taifa lake. Hakika bila kujibu hoja nzito za WANGWE, Mwenyekiti MBOWE asitarajie kupata kura za Watanzania wenye fikra mbadala katika uchaguzi ujao ndani ya chama chake na asijisumbue kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.

Natoa mwito kwa MBOWE kuitisha mkutano wa waandishi wa Habari kujibu tuhuma moja baada ya nyingine. Vinginevyo MBOWE atakuwa ameingia katika kundi la Wenyeviti wa vyama vya siasa wanaoua demokrasia nchini.

Kwa upande mwingine, DR SLAA na KABWE ZITTO wamekuwa watu muhimu kwetu watanzania katika kutoa hoja zinazohusiana na ufisadi bungeni lakini inashangaza wameshindwa kudhibiti ufisadi wa MBOWE ndani ya CHADEMA na badala yake wamemwachia WANGWE pekee. Hakika watu hawa walitusaidia sana katika kuunda tume za kuchunguza Richmond na EPA inakuwaje kwa muda mrefu tangu Desemba 16, 2007 wanakalia ripoti ya Kamati ya Mziray iliyoundwa kuchunguza mambo yanayoweza kusababisha migogoro ndani ya CHADEMA? Kamati hiyo ilibaini ubaguzi wa kikabila na kidini katika CHADEMA lakini haikuwekwa wazi kwa Watanzania na wala haijafanyiwa kazi. Je tuwaelewe vipi viongozi hao wa CHADEMA? Ufisadi ni ule unaofanywa na viongozi wa serikali ya CCM tu? Je sio kweli kwamba Hisani siku zote inapasa kuanzia nyumbani???
 
FIKRA MGANDO ,mbona hii umeipost kila kona ?unataka ijadiliwe wapi?

Mshauri Mhe. Wangwe aende bungeni kutetea wananchi wake na aache kupita pita kwenye news room za magazeti ya mtanzania na majira .

Kwa kuwa jana ulikuwa naye na kiufanya naye mahojiano ya kina mpe ushauri wa kumjenga kisiasa kuwa alipaswa wakati huu awatete wananchi na haswa wa Jimbo lake ambalo wana madini na wananyanyasika sana .

Mshauri asisubiri TOTACHA ikahamia kwake kama ilivyokuwa kwa CHAMBIRI ,
 
Ala
Kumbe nao wana ripoti iliyokaliwa !!!!!!!!!!! karibu miezi tisa sasa wameitia kapuni.

Mziray itoeno ripoti yake.
 
Haya, karibu nenda kwanza hapa ujibu: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=15327

Halafu hilo la ripoti ya Mziray nilimelizungumzia kwa kina muda mfupi uliopita, mwenye link aweke hapa. Kwa kweli katika hili nitawatetea CHADEMA mpaka mwisho kwa kuwa najua undani wa mikakati inayofanywa na Rostam

PM
 
yaani hakuna kupigana na mafisadi! viscious circle?????? ama kweli Tanzania ya vimbenelehi sijui ndondocha, iliyobaki kutengeneza strategies na moja baada ya nyingine from A, B to C.

Ila ukiunganisha dots unaweza kushtuka kwamba nani ni nani hasa kama upo hapa kwa ajili hiyo, mfano kwa hayo maneno yako mama hapo juu nimehisi wewe ndiye MZEE MWANAKIJIJI
 
Haya, karibu nenda kwanza hapa ujibu: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=15327

Halafu hilo la ripoti ya Mziray nilimelizungumzia kwa kina muda mfupi uliopita, mwenye link aweke hapa. Kwa kweli katika hili nitawatetea CHADEMA mpaka mwisho kwa kuwa najua undani wa mikakati inayofanywa na Rostam

PM

Kumbe sio chacha tu anayewasiliti?? Hivi kuna gharama gani kama Mbowe akijisafisha kwa kuweka mambo yote wazi ili mambo yaishe badala ya kuweka propaganda.?

Yeye haoni kuna faida kubwa?? Na hiyo kamati ya Mziray ni nani aliyeiunda?? iliundwa na chacha akiwa tayari kiongozi ?? ama vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom