Mozambique denies India 5 more coal concessions

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Mozambique denies India 5 more coal concessions

By: Reuters
10th January 2011

MAPUTO - Mozambique on Monday turned down a request by the Indian government for five coal concessions, saying the Asian giant should first develop its two existing blocks in the southern African nation.

"They must develop what they have first. Then we will sit down and decide what to offer,"Abdul Razak, deputy minerals minister, told a news briefing after talks with Indian Coal minister Sriprakash Jaiswal.

Jaiswal arrived in Mozambique on Sunday with officials from Coal India Limited (CIL) to try to secure additional exploration rights in Mozambique, home to some of the world's richest untapped deposits, to meet India's fast-rising demand.

CIL was awarded rights last month to two blocks totalling 200 sq km in Mozambique's Moatize region. The blocks are thought to have reserves of a billion tonnes of coking and thermal coal.

CIL officials said on Sunday that, all being well, the state-run firm would invest $400-million and employ 3 000 people in the next five years at the two coal blocks and would import 10-million tons of coal in the next decade.

My Take:
Serikali yetu ya JK ina gutz ya maamuzi kama hayo?
 
Hivi sasa hata wahindi wanatafuta makoloni Africa. Kweli sisi ni mabwege wa kutupa.
 
Unajua so far Australia ndiyo inatoa about 50% ya cocking coal (A type of coal used for steel making). wateja wakubwa wa hiyo Coal ni China, Japan na India as of now. Sasa naona wadosi wanataka mteremko na the only place for that ni Africa. Kumbuka wameshaahidi kununua coal ya Tanzania mara tu itakapoanza kuzalishwa. Hii pia inaweza kuwa ndiyo janja ya Jeetu Patel kumiliki Mchuchuma. It is very likely atapiga udalali na kuuzia hawa jamaa. Keep watching.
 
Kaka pengine wamakonde wamestuka. Haya mamikataba ya kusaini miaka 10 au 20 mbele bila kuona immediate effect ni ya kuepukwa. Mmabo ya madini ni magumu kwa kweli na naona wamefanya vyema kwenda aste aste.

Mambo ya energy ndio ishu kubwa kwa sasa ulimwenguni ktk karne hii kufuatia estimates za kwamba mafuta ya Uarabuni yanakaribia kukata. Sasa ilitegemewa sisi Africa huku kwene vyanzo vipya vya nishati tuwe na viongozi makini wenye uelewa, wenye utaifa na utu. Lakini hapa Tz tumeshaliwa tayari.
 
Yea, na kama unavyojua hawa jamaa zetu wa sub-continent huwa hawako straight hata siku moja!
 
Back
Top Bottom