ha ha ha
akinihukumu lazima nile kengele zake usiku.
Hivi unadhani ni raha kutoa njugu kama hongo?
Kuna mmoja alikuja hapa analalamika katoa hongo na umeneja kapata ila anajichukia sana.
Hata kwa mke si jambo rahisi kujitoa bure bure tu.
KUSAMEHE NI KARAMA mkuu!
Fifty fifty aisee
kuna watu shule walikuw na uwezo wa kupata B+ kwa akili zao, lakini wanagawa njugu ili wapate A.
Huko kwingine siwezi kupasemea, ila kwa hili la mtu yuko anapigania uhai??
Lazima limtikise mtu bana, kumbuka hakuna hata muda wa kuuza vitu home ili ulipie.
Hivi mtu akikuokoa kwa staili hii, ukipona unamhukumu??
Nahisi kama umewadhalilisha Madaktari wetu kwa kiwango cha juu sana......
Hivi kweli madaktari wetu, hawa hawa ninaowajua, hivi kweli jamani........................!
ukishaniokoa staili hiyo
utakuja kunisimulia?
ah Mtambuzi,katika haya maisha ya kutoa mimba kila uchao na kulala na hao hao waliowatoa mimba nini hakiwezekani hapa?sio wote lakini ila walioswain wapo mkuu tena kuliko tunavoweza kufkiria,japo hilo halikuwa lengo la kuanzisha thread hii!Nahisi kama umewadhalilisha Madaktari wetu kwa kiwango cha juu sana......
Hivi kweli madaktari wetu, hawa hawa ninaowajua, hivi kweli jamani........................!
hivi unadhani wana muamana basi??
Unapeleka mgonjwa dokta yuko bize anakutongoza
unabaki unawaza, hivi hawana hata miiko??
Sembuse mtu yuko mahtuti, lazima walie hapo hapo, sishangai kabisa hapa.
umeanza na maswali yako!mfunyuku wewe kah!sikuwezi
Never Say Never!
Kuna saa unajikuta umeenda extra mile to save a 'bastard'
Roho ya mtu kubwa sana jamani, achia mbali baba wa watoto wako. Unadhani utakubali uone wanapoteza baba kirahisi?
Is it? kwani kutosamehe ni dhambi?
mi nakusimulia vizuri tu!hasa kama ulipata hayo matatizo kwenye kufumaniwa nakupa za uso tu!ujue ulinywe au ulioge!au uutwange ukiwa mbichi au uuanike!
we hujawahi tongozwa na dokta?
mi nakusimulia vizuri tu!hasa kama ulipata hayo matatizo kwenye kufumaniwa nakupa za uso tu!ujue ulinywe au ulioge!au uutwange ukiwa mbichi au uuanike!
My dear kichaa wangu, there is no situation nitakayotumia kujiokoa wala kumuokoa mwanangu kwa kutumia mwili wangu! Huwa najiwazia situation ya kubakwa ikinikumba (Mungu apishie mbali). Niko tayari kufa kuliko nibakwe. Na mapambano ya kumuua ama kuuliwa na rapist huyo ikishindikana wakati wa process, nitahakikisha anapatikana na nitamuua! I can't live with myself after that na offender wangu anakula maisha! So hata kama ni kuokoa mwanangu niliyemzaa, nitaiba, nitatapeli, nitadanganya, nitakopa hadi mortuary! Lakini sio kuuza mwili sexually! Seuze kumsave mwenza, hata kama hajanikosea na nampendaje, kha!