Moyo wangu umewaangukia hawa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kama wanawachumba samahani,heri nieleze tu hisia zangu,swaga za hawa warembo moyo wangu unaenda pah pah pah
kama ni raia zinazonyoa ndevu basi wanajua kuigiza na kujifanya vitoto vinavyobalehe,
Afrodenz dah avatar yake nimeukubali,kama ana mchumba i'm sorry ila moyo umeshapenda but niambie kama mhusika ni bondia
Zenduna,huyu binti ni mcheshi nampenda kweli,dah,naapa namtongoza leo akikubali tunafunga ndoa kesho kutwa,
Mpole,nampenda ila anaonekana anaogopa kutongozwa.
Lizy huyu ananata balaa na kuvumiliana inataka moyo
Smile nampenda ila anaonekana wa mizinga kweli ila bado sina uhakika.
Aminata huyo nimezimikia tatoo zake,mtoto anaonekana mpole na ataweza kumudu ndoa.






If you love someone, whether its romantic love or love as a friend, let that person know and keep them in your heart. Here is my heart and now you are in it. I hope you will also keep me in your heart. We are here today but we don't know what tomorrow brings. So if tomorrow never comes, please know that I love and value you as a person. I did my part letting you know.


Mapenzi noma hata hadharani unaeleza hisia

 
Inasemekana ukiona mwanzo unakuwa mgumu basi ujue mbele panakuwa palaiiini.................NIMESIKIA TU
 
Back
Top Bottom