Moyo wa Kupenda hauna subira.......

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Nikiwa kila siku namuona huyu kaka akipita mitaa yetu
Nikiwa chuo nilisoma nae ingawa yeye alikuwa amejikita zaidi kwenye dini..
Kila nilipokuwa nikimuona na salam yake ambayo kila siku ilikuwa bwana asifiwe na mie naitikia amina .
Baada ya kumaliza chuo tulipoteana..lakini sikuweza kumsahau hata kidogo..
baada ya miaka mitatu tukiwa uraiani..siku hiyo nakatiza barabara mara
gari moja ikanipita ikiwa na bendera ya haya magari ya wakuu serikalini ooh mama..
Kupiga jicho alikuwa ni mpendwa katika bwana..
sikujua tena nitamuona wapi huyo kaka aliyetokea kunichanganya...
Siku moja nikiwa mwanakamati ktk harusi moja kubwa mara nikamuona asali wa moyo ..
Salam ya kwanza kwa kifupi hakunikumbuka..
Part 2.

Katikati ya sherehe lilipigwa pambio moja kali nikaona mpendwa kaamka kwenda kusakata dance
Na mie huyo nikaingia kwenye stage na kucheza kwa nguvu zote
Mara nikamwambia naitwa fulani tulikuwa wote sehemu fulani..
Nikamuomba namba za simu bila ajizi akanipa.

Nilipotezea for 6 month nikaomba kukutana nae ..
Ile tumeagiza Juice ile sala tu ilinikatisha tamaa kuunganisha maongezi ili nitoe dukuduku..
wabariki wagonjwa wote,mpe dada EW upako wa kulijua neno ..mpiganie siku zote
bariki kinywaji..amen



:A S-coffee:

baada ya hapo niliingia ndani ya hotel nikabugia mvinyo usio na idadi kisha nikatoka ..zangu na kurudi eneo la tukio

..To be continues in 2 hours to come..

Part 2
Page one...
Baada ya kukaaa eneo la tukio nilimuuliza kaka N umeoa akasema kwa neema ya mungu bado sijapata mke
Nikamuuliza tena Kaka N lakini una Girl wa kupotezea time ..akanambia No Dada EW sina napenda kuyashinda majaribu mpaka pale mungu atakaponipa mke mwema..
Nikamwambia Kaka N nadhani mke mwema ni mie mbona hunioni lakini...
Nakuhitaji tangu siku ya kwanza nimekuona maishani mwangu
Kanambia ushindwe na ulegee mpaka mungu anionyeshe ...wakati anamalizia ushindwe na ulegee nikamwambia pls i need ur kiss ..
only that then nitakuacha ufunge na uombe kwa ajili yangu...
hahaha akaanza kubabaika ooh binti usinitie majaribuni ...
wakati anamalizia nilishamsogelea nikamuomba kwa hiari yake anibusu..
kabakia amepigwa butwaa,,akiwa bado anashangaa nikamkumbatia nae akanipokea na kunibusu..
Nikamuuliza will u marry me N ..i love you so much ..
Akanijibu tutaongea EW nashukuru umenambia na akanikaribisha nyumbani kwake jpili inayofatia ili tukaongee vizuri hili swala..

>>Kwa maskitiko makubwa jpili haikufika kwani N wangu alipata ajali ya gari akiwa safarini kikazi na boss wake..
na huo ndio ukawa mwisho wa N aliyenitesa moyo kwa zaidi ya miaka saba
Mungu iweke roho ya marehemi NW pema peponi Amina
Based on true..


PM forbidden
 
Masikini, ila kabla sijajua nikupe pole ama hongera hebu malizia hii mastori... Ila natanguliza pole, just in case
 
Yule wa JF ndo ushambwaga?

hahaha Lizzy wa JF sijawahi hata kumtumia PM muulize Invisible kama kuna PM imewahi kutoka kwenye account hii ya EW kwenda kwa mwanaume nisiye mjua.

Pia Lizzy hapa naongelea habari ya miaka kadhaa iliyopita..
Kuwa na Amani
 
hahaha Lizzy wa JF sijawahi hata kumtumia PM muulize Invisible kama kuna PM imewahi kutoka kwenye account hii ya EW kwenda kwa mwanaume nisiye mjua.

Pia Lizzy hapa naongelea habari ya miaka kadhaa iliyopita..
Kuwa na Amani

Afadhali. . .
Nlidhani unataka kula huku(JF) na huku (uraiani).
 
Bora umeweka note "pm hapana" vinginevyo tunao members hapa "vilamba sukari" ambao ni "Task force" special ndani ya siku 3 wangeshakutoa mastres yote hayo! Na huyo mchungaji ungemsahau!
 
Pole sana mie nilikuwa naona hadithi nzuri ya malavi davi kumbe mwisho wa siku ina majonzi tele
 
Ahahahahahahahah, stori nzuri ya kumfaa Shigongo.
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY HAVE CREATED ALL KIND OF MADNESS".
 
Nimecheka sana alipokushushia neno wakati wa kunywa juice...Pole sana....
 
ndo maana kaka wawatu alikuwa hataki au alikwambia mungu ajamuonyesha cse mayb upako ulimuonyesha hana muda mwingi angekukubaliaa mkawa pamoja nazani maumivu ambayo ungekuwa unafeel kipindi hicho yangekuwa mara 7,polee ila maisha na mikasaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom