Moyo ukikataa unaweza sema kwa mwenzio?

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
9,330
Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina

Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?
Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa unajilazimisha tu?

Nauliza maswali haya kutokana na kisa nilichosimuliwa na mtu wangu wa karibu sana (Mars) kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake na aliyekuwa mpenzi wake (Venus), na hiki ndicho kilichotokea
Mars: Yaani pamoja na kukaa kwa miaka yote bado unasema hujanipenda na wala hujawahi kunipenda
Venus: Nakwambia kweli kwa miaka yote mitano, nimejitahidi mno kujiforce na kujiweka karibu sana na wewe lakini naona MOYO wangu mzito na unakataa kabisa kukupokea

Mars:
Mbona nimekupa na nimekufanyia kila kitu kwa uwezo wangu wote?
Venus: Yaani wewe ni Mwanaume wa shoka, kila kitu nilichotaka nakipata na pia ni mzuri mno hata kwenye 6x6 na wala sina tatizo kwa hilo,
tatizo ni MOYO, nimejaribu kujibembeleza na kujipa moyo sana kuhusu mapenzi yangu kwako, lakini MOYO umekataa kabisa na najiona ni kana kwamba kuna kitu najidhulumu au nakudhulumu.
Nakwambia ukweli kwa miaka yote niliyokuwa na wewe sijawahi wala sina mtu wa pembeni,nilijaribu kukuweka karibu sana, lakini kuna kipindi nakuwa mpweke na kujiona sipo sahihi kuwa na wewe (kilio)

Mars:
Tatizo ni nini sasa
Venus: Tatizo ni MOYO unakataa kabisa, najiona napwaya na nina hofia kuwa siku za mbele tutakuja achana kwa shida na matatizo, ni bora tuachane ingali mapema na mimi niupe MOYO wangu unachokitaka, kuliko kujilazimisha kuwa na wewe, naomba nisamehe kwa niliyosema (Kilio tena),

huyo ni pepo tuuu! anapepo MAHABA linamsumbua!

Mkuu swali lililpo ni kuwa, ukijigundua unajilazimisha kupenda unaweza kuwa huru kusema? au Hakuna hii habari ya kujilazimisha kupenda?

Kujilazimisha kupo. Ilishamtokea rafiki yangu ambaye kuna jamaa alikuwa anamtaka kimapenz, akajitahd kumueleza kuwa hampend lkn hakuacha kumfuatilia. Baadaye aliamua kumkubalia na uhusiano wao ukakomaa kiasi cha kuwa wachumba. Taratibu zikafuatwa jamaa akatoa mahari na harusi ikapangwa. Mwez mmoja kabla ya harusi rafik yang alinijia analia sana na kusema anahisi amekosea kukubali kuolewa na yule mtu. Nikamwambia afikirie mara mbili kabla hajachukua uamuz wowote. Kesho yake mchumba ake alinipigia cm na kuniambia 'shost' wangu kasema hataki tena ndoa sababu amejilazimisha kumpenda imeshindikana. Ndoa haikufungwa na mahari ilirudishwa. Ila uchumba ulichukua miaka miwili co mitano kama mars na venus.

hiyo huwa ipo sana....ni kawaida kabisa

Asante kwa kunitoa tongo tongo_ntakua makini kuliko kiasi na haya mapenzi ya kidot.com_maake wanajifanya wanapenda sana kumbe mioyoni wanakua hawaridhika na kumbe hawasema kwa kipindi kirefu ki hivyo.......

Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina

Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?
Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa unajilazimisha tu?

Nauliza maswali haya kutokana na kisa nilichosimuliwa na mtu wangu wa karibu sana (Mars) kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake na aliyekuwa mpenzi wake (Venus), na hiki ndicho kilichotokea
Mars: Yaani pamoja na kukaa kwa miaka yote bado unasema hujanipenda na wala hujawahi kunipenda
Venus: Nakwambia kweli kwa miaka yote mitano, nimejitahidi mno kujiforce na kujiweka karibu sana na wewe lakini naona MOYO wangu mzito na unakataa kabisa kukupokea

Mars:
Mbona nimekupa na nimekufanyia kila kitu kwa uwezo wangu wote?
Venus: Yaani wewe ni Mwanaume wa shoka, kila kitu nilichotaka nakipata na pia ni mzuri mno hata kwenye 6x6 na wala sina tatizo kwa hilo,
tatizo ni MOYO, nimejaribu kujibembeleza na kujipa moyo sana kuhusu mapenzi yangu kwako, lakini MOYO umekataa kabisa na najiona ni kana kwamba kuna kitu najidhulumu au nakudhulumu.
Nakwambia ukweli kwa miaka yote niliyokuwa na wewe sijawahi wala sina mtu wa pembeni,nilijaribu kukuweka karibu sana, lakini kuna kipindi nakuwa mpweke na kujiona sipo sahihi kuwa na wewe (kilio)

Mars:
Tatizo ni nini sasa
Venus: Tatizo ni MOYO unakataa kabisa, najiona napwaya na nina hofia kuwa siku za mbele tutakuja achana kwa shida na matatizo, ni bora tuachane ingali mapema na mimi niupe MOYO wangu unachokitaka, kuliko kujilazimisha kuwa na wewe, naomba nisamehe kwa niliyosema (Kilio tena),

DID YOU notes the ploblem?, they are coming from different planet, what do you aspect?

hiyo huwa ipo sana....ni kawaida kabisa
Preta,hapo nakuunga kichwa,shingo na mkono kabisa! Mapenzi hayahitaji kulazimisha,mwanaume hatakiwa 'kumlazimisha' mwanamke ampende and vice versa. Hali kadhalika huruma ya kujilazimisha umpende mtu eti kwa vile yeye kakuonyesha mapenzi sana hiyo nayo ni kujitafutia maumivu.Na tatizo kubwa la kuoa/kuolewa na mtu ambaye moyo haujaridhika naye ni kwamba ikija tokea roho yako ikamdondokea mtu mwingine kiukweli ukweli wakati tayari upo ndani ya ndoa/mahusiano hapo ndo utalia mikono kichwani na si ajabu ukaishia kuzaa nje ya ndoa na kama ni mwanamke basi mme ataishia kulea mtoto si wake.Ndugu zangu wapenzi wana MMU take your time kabla hujaamua kujiachia kwa mtu kijumla jumla,uwe mwanaume , uwe mwanamke!

Inatokea na huwezi kulazimisha upendo hapo maana unajikuta unajaribu sana kumpenda na kumvuta karibu ila inakuwa ngumu yaani upendo unakataa kabisa. hapo huwezi lazimisha kabisa

Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina

Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?

Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa unajilazimisha tu?

Nauliza maswali haya kutokana na kisa nilichosimuliwa na mtu wangu wa karibu sana (Mars) kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake na aliyekuwa mpenzi wake (Venus), na hiki ndicho kilichotokea

Mars: Yaani pamoja na kukaa kwa miaka yote bado unasema hujanipenda na wala hujawahi kunipenda

Venus: Nakwambia kweli kwa miaka yote mitano, nimejitahidi mno kujiforce na kujiweka karibu sana na wewe lakini naona MOYO wangu mzito na unakataa kabisa kukupokea

Mars: Mbona nimekupa na nimekufanyia kila kitu kwa uwezo wangu wote?

Venus: Yaani wewe ni Mwanaume wa shoka, kila kitu nilichotaka nakipata na pia ni mzuri mno hata kwenye 6x6 na wala sina tatizo kwa hilo,

tatizo ni MOYO, nimejaribu kujibembeleza na kujipa moyo sana kuhusu mapenzi yangu kwako, lakini MOYO umekataa kabisa na najiona ni kana kwamba kuna kitu najidhulumu au nakudhulumu.

Nakwambia ukweli kwa miaka yote niliyokuwa na wewe sijawahi wala sina mtu wa pembeni,nilijaribu kukuweka karibu sana, lakini kuna kipindi nakuwa mpweke na kujiona sipo sahihi kuwa na wewe (kilio)

Mars: Tatizo ni nini sasa

Venus: Tatizo ni MOYO unakataa kabisa, najiona napwaya na nina hofia kuwa siku za mbele tutakuja achana kwa shida na matatizo, ni bora tuachane ingali mapema na mimi niupe MOYO wangu unachokitaka, kuliko kujilazimisha kuwa na wewe, naomba nisamehe kwa niliyosema (Kilio tena),

Haya ndo matatizo ya kutokujua maana ya upendo,upendo has nothing to do with sex!

DID YOU notes the ploblem?, they are coming from different planet, what do you aspect?

Asante Mkuu, unataka kuniambia hakuna mapenzi ya kweli kabisa kati ya hao wawili?

mapenzi yako natural sometimes yaani kuna mtu unatokea unampenda automatically ila kuna mwingine hata ujilazimishe vp roho inakataa
unakuta mtu ni mzuri tu ana sifa zote but haumfeel nadhani kuna natural selection

huyo mtu aje akuache afta 5 years akuambie kuwa alijilazimisha kupenda? kwani alishikiwa bunduki?

Hakuna la ajabu hapo maana wengi wanandoa wanaishi tu kwa sababu ya watoto, jamii, na pia economic reasons lakini utakuta mmoja kati ya wanandoa anaona kuwa he/she is out of place. Kusema ukweli kwa kujali maslahi ya wengine ni muhimu. Pima pros and cons before you reveal the unfathomable truth....the truth shall set you free since living a life of lie is not healthy for any of the members including children (if they are there).

Thanx Sinorita
Umeongea ukweli kabisa

mapenzi yako natural sometimes yaani kuna mtu unatokea unampenda automatically ila kuna mwingine hata ujilazimishe vp roho inakataa
unakuta mtu ni mzuri tu ana sifa zote but haumfeel nadhani kuna natural selection

ukigundua umpendi ila unajilazimisha unaweza sema waziwazi? au hayo mambo ya wakubwa bado?

Back
Top Bottom