moyo u mpweke ..................

unasema ni binti wa kike kwani kuna binti wa kiume,na bora leo umejitokeza hebu nipe kwa kina kuhusu kale katabia kenu ka kutanguliza vijana mbele ya haki ili mpate nafasi ya kula bata kwa mkwanja wa aliyetangulia,sambamba na hilo kuna mengine mengi,na usiruke hata kipengele ili watu tuzame kwa bibi kusaka natural bodyguard from natural trees before applying for that chance.
 
akili yangu nyembamba sana haijaweza kuelewa hata kimoja hapa.
 
nawashukuru sana wale wote walio tuma pm zao, nimewapenda sana kwa hilo. tutawasiliana zaid ili kumpata mmoja kati yenu. mbarikiwe sana.
 
kila la kheri, ni vijana wachache sana wenye umri kama wako ambao hawajazini.
Huu ni uthibitisho kuwa inawezekana mtu kujituliza mpk wakati wa ndoa.
Kuwa mkn matapeli ni wengi dunia ya leo.
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Kuna ukweli kama hujapitiwa na other ranks au officers pale kunduchi au monduli kipindi cha six weeks ? Kwanini unaficha ukweli wakati mtm au pw lazima atapitiwa tu
 
lol! afande mimi nina sifa zote lakini kwa vile we ni mjeda, hamu imeisha ghafla. maana haka kamzozo ka malawi nami nawezatakiwa nikusindikize kwenye combat zone. wacha niendelee kuwepo wepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom