Moyo mpweke natafuta mume

Nadhani wakati umefika tuachane na matani pia dhihaka si njema. Dada yetu kajitowa moyo wake wote kuelezea kile atamanicho rohoni mwake na ni haki yake, hajakueleza wewe ila amewaeleza wale wenye sifa zitakazo mfaa yeye na ametoa angalizo usifanye hivyo kama huna sifa hizo. Sasa ya nini kuleta matani kwa pilipili usio ila na iko shambani inakuwashia nini? Maulidi sio yako kanzu waivalia ya nini? Ifike mahali tujirekebishe jamani! Dada hongera sana kwa kujiweka wazi namuomba Mungu wangu akujalie hitaji la moyo wako. Ili uwe makini sana usije ukapata hawa masharobaro wa kwenye net wakakufanya ukajinyonga bure. Be blessed


mzigo uko kichwani kwapani jasho la nini?
 
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe mkristo wa umri kati ya miaka 36-46 awe mwajiriwa aliyejiajiri asiwe mlevi aliye tayari anipm nimpatie contact zangu ANGALIZO Wale wanaopenda kutoa kashfa kwa yasiyowahusu plse wajiheshimu kwani sio lazima kuchangia jambo ambalo halijakugusu we soma and then unapotezea kwa aliyetayari anipm

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:


  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:


  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom