Moving applications to SD card

marregal

Member
May 8, 2011
77
15
hellow fellas, i have been trying to put almost all of my 'downloaded' applications to the SD card so as to give internal memory more space to enable good perfomance of the phone, i hav this application am using its called 'app 2 SD' some goes to the card and most of them goes to the internal memory,further more this application give restriction that those apps downloaded to the phone can't be moved to the SD card,, now i cant add more useful applications to my phone,, am using HTC operating with android 2.3.5 , assistance plz...
 
some apps can't be moved to SD, App like What'sApp,Facebook, Documents to Go etc so try other apps
 
nakushauri uroot simu yako(kama unauwezo huo) I'm sure depending on your device instruction ziko online then partition sd card yako again zipo online instruction alafu install app inaitwa link2sd ni nzuri maana nina huawei sonic yangu nimeweka like 320mb worth of apps na internal yangu bado ina 40+mb to spare maana ile inaamisha kila kitu kwenye partition ambao yangu nimepartition 512mb
 
Hivi app za android huwez edit kama symbian? Kama vile kuchange app name na version ili uwe nazo 2 simu moja
 
By NingaR<br />
<b><font color="purple">some apps can't be moved to SD, App like What'sApp,Facebook, Documents to Go etc so try other apps </font></b>
<br />
<br />
Hivi app za android huwez edit kama symbian? Kama vile kuchange app name na version ili uwe nazo 2 simu moja
Inawezekana. Nahisi apk files ni java files, ukijaribu kuiextract na winrar inakubali na utakuta kuna files zingine ndani ambazo zinaweza kuwa edited. Coz most of android apps nnazotumia uwa jamaa wamezicrack na zingine zimekuwa nullified
 
nakushauri uroot simu yako(kama unauwezo huo) I'm sure depending on your device instruction ziko online then partition sd card yako again zipo online instruction alafu install app inaitwa link2sd ni nzuri maana nina huawei sonic yangu nimeweka like 320mb worth of apps na internal yangu bado ina 40+mb to spare maana ile inaamisha kila kitu kwenye partition ambao yangu nimepartition 512mb
nimejaribu na this application called unlock root lakin bado mambo yale yale,, kuna nyingine ya kutumia command line interface tried to follow the procedure lakin ikija kwenye ku update ROM before root, the phone turns off, its HTC wildfire S.
 
Inawezekana. Nahisi apk files ni java files, ukijaribu kuiextract na winrar inakubali na utakuta kuna files zingine ndani ambazo zinaweza kuwa edited. Coz most of android apps nnazotumia uwa jamaa wamezicrack na zingine zimekuwa nullified

Basi kama ni hivo unaweza kuinstall watsapp kwenye sd card
 
mimi pia natumia htc nimeiroot na nimeweka super administrator, whatsapp na app zingine zenye mb za ya 20 nmezihamisha kwenye sd card. sema tatizo la htc app ikiwa kwenye sd card sometimes uwa zinagoma kufunguka au kucrash
 
waweza nipa procedures ulizotumia kuroot simu yako,, even if its a link to visit...
 
hapa natumia mobile, niko limited kuandika. ila nenda google how to root iyo os unayotumia kama ni froyo, gingerbread etc. kuna forum nyingi wanaelezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom