movies exchange program(arusha tu)

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
hi people,
wakazi na wanazuoni wa chuga najua mmerudi na we need to relax kwa sasa,kwa wale wadau watakaopenda ku-exchange movies na softwares please post hapa ,then we can meet,ukiwa na external HDD yenye movie za kuanzia 50 GB hivi itakua poa,personally nina 90 GB of movies tu,softwares na games pia can be shared.we can share and have fun,,,,ni haayo tu kwa leo...nyc tym
 
Poa tuko pamoja ila sina nyingi kama wewe nadhani huwa naweka movie chache zile ninazozipenda na kama hutajali tunaweza kuendelea hasa za action za kutumia akili zaidi nitakupm nikupe no.yangu nawe unipe yako
 
pouah,thanks,maybe we can meet someday and exchange,wats ur ide kama tukiwa kama wana jf wengiwengi?
 
alafu people nimeona hakuna group ya watu wa arusha huku,plz join group inaitwa "arusha dwellers",,,we can talk more there
 
Safi sana wakuu
Mimi nina one terabyte na imejaa movies za kuanzia mwaka 2009 mpaka 2011 na latest movies and documentaries and series. Kwa yeyote anayehitaji anipm tuwasiliane. Ni more stories and comedy.
 
Kwa wale ambao Spanish si tatizo ninazo docu, terror, sci-fi, action, na nyingine nyingi kama 0.8TB hivi tunaweza kushea,
tunaweza kubadilishana na zile za Kiingereza. (NB: Hizi zilizoko kwa Spanish hazina subtitles, labda chache tu)
 
Back
Top Bottom