Movie zilizowahi kutikisa kwenye ulimwengu wa movie

hizo zingine sizijui mimi
..
labda crash of titans

labda useme movie zilizowahi kukutikisa mleta mada...

movie zilizotikisa mpaka mbwa wanazijua
sindo zile za : THE XPENDABLES

NO RETREAT NO SURENDER
UNDISPUTED
TITANIC
SARAFINA
AMERCAN NINJA
HOTEL RWANDA
THE BODY GUARD
SHAOLIN SOCCER
IP MAN
ANACONDA
KING KONG
GODZIla
B13
BOOK OF ELI

sindo hizi au?
Mie narudia kuangalia movie ya bad boys hata asubuhii hii nimeangalia nikacheka kidogo kabla sijaja kazini whoozaaaa
 
DISTRICT 9 Ni movie ambayo ikianza unaweza kuidharau na kuipuuza ila ni hatari mno...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom