Movie zilizowahi kutikisa kwenye ulimwengu wa movie

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Habari wana JF,

Habari kwenu watazamaji na mashabiki wa ulimwengu wa movies.

Ebu tuambiane na tufahamishane Movie kali zilizowahi kutikisa na kuteka ulimwengu wa movie. Unakaribishwa kujazia ili tupate kujuzana movie kwa wale wataotaka kutazama au ambao wamezitazama.

Orodha yangu inaanza hivi;

1.300Rise of Empire
View attachment 409011

2.The London has fallen
View attachment 409012


3.Pearl harbor
1475143105773.jpg

1475143118544.jpg


4.Gods of Egypty
View attachment 409013

5.Naked soldier
View attachment 409014

6.Crash of Titans
1475143130464.jpg


7.Lone survivor
View attachment 409015
 
hizo zingine sizijui mimi
..
labda crash of titans

labda useme movie zilizowahi kukutikisa mleta mada...

movie zilizotikisa mpaka mbwa wanazijua
sindo zile za : THE XPENDABLES

NO RETREAT NO SURENDER
UNDISPUTED
TITANIC
SARAFINA
AMERCAN NINJA
HOTEL RWANDA
THE BODY GUARD
SHAOLIN SOCCER
IP MAN
ANACONDA
KING KONG
GODZIla
B13
BOOK OF ELI

sindo hizi au?
 
[HASHTAG]#TITANIC[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FAST[/HASHTAG] AND FURIOUS
[HASHTAG]#ANACONDA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#SHAOLIN[/HASHTAG] SOCCER
[HASHTAG]#UNDISPUTED[/HASHTAG]
#IP MAN
[HASHTAG]#OPRAH[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NSYUKA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DAR[/HASHTAG] TO LAGOS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom