Movie Vs Music

Chunguza hapa,
Diamond v/s Hemed (PHD)
Jacq Wolper v/s Lady JD
Ray v/s Prof J.

Angalia vipato vya mtu kama Ay, Ally Kiba, nk ulinganishe na kina JB, Tinno, Uwoya, Johari n.k.

Swali juu ya swali,
Muziki, Uigizaji na Mpira kipi kinalipa katika international level??
 
Kama unatafuta cha kutokea maishani mwako basi piga vyote,
Utakapoelemea ndio hukohuko!!
 
Chunguza hapa,
Diamond v/s Hemed (PHD)
Jacq Wolper v/s Lady JD
Ray v/s Prof J.

Angalia vipato vya mtu kama Ay, Ally Kiba, nk ulinganishe na kina JB, Tinno, Uwoya, Johari n.k.

Swali juu ya swali,
Muziki, Uigizaji na Mpira kipi kinalipa katika international level??

Kama böngo bora uimbe ili upate kupanda mbegu nyingi za watoto kwa mashamba mengi muvi mpaka uwe frimaso kama kanumba ndo utatoka
 
Ipi Inalipa!

Kweli maisha magumu nimejiuliza hivi kwa nin umeamua kupost swali hili.NIKAGUNDUA JIBU MAISHA MAGUMU NDIO YANAYOCHANGIA teh teh teh unemployment bwaaana teh teh teh umekaa rumu kwako umechanganyikiwa uanze kufukuzia kipi teh tehe teh inshu sio kuamua kipi kinalipa umejiuliza una kipaji gani?Natania bwana usiniMIND tehe teh teh leo sijui nina raha gani.. Coz nafuraha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom