" MOVIE STAR" waswahili wa Bongo kumwita "STELINGI" ni sawa?

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Maneno mengi ya Kiswahili yametoholewa kutoka lugha za kigeni, lakini hili la "stelingi" kwa kumaanisha kinara wa filamu, limetoka wapi?
 
mkuu ili si jukwaa muafaka kwa hii topiki yako.
Peleka jukwaa la sports and entertainment!

Mods tafadhali peleka hii kitu kunakohusika!
 
Maneno mengi ya Kiswahili yametoholewa kutoka lugha za kigeni, lakini hili la "stelingi" kwa kumaanisha kinara wa filamu, limetoka wapi?

Kabla ya kuanza kuanzisha threads angalia inahusu nini na wapi mahala pake............yaani masuala ya movie za kibongo(upuuzi mtupu) unatuletea kwenye siasa?
 
Back
Top Bottom