Movie Scene Filamu ya Kitanzania

Huyu mdada nadhani wengi mnamfahamu..hata kama ni kazi mhh,hizi scene zingeachiwa mateenager
DSC08375.JPG

mmmmmh bora sijaoa aisee.. hapo hata kama ni profession mi hapana loooh
nikistrech imagination namuona JB anavyougulia hapo kitu kiko perpendicular
 
Jada Pinket (mke wa Willy Smith) kwenye picha ya MANANCE 2 SOCIETY alionekana aki DU live!! so sio ya kushangaza saaana na isitoshe ni kazi na kipaji chake :A S angry:ILA MKE WANGU SIMRUHUSU PATACHIMBIKA:A S angry:
 
Mimi ingebidi nichome sindano ya GANZI kwanza sehemu zangu nyeti ndio nisogelee. Maana bila hivyo nadhani ATHUMANI KICHWA WAZI angeanza kugonga gogonga kama AGAMA AGAMA LIZARD akiwa kwenye mwamba anaotea jua. Au la ingbidi niwe nimechakachua kama goli 5 hivi ndio nisogelee hapo. Hawa jamaa wazugaji, huwa hawatuonyeshi akisimama kama MJUSI AGAMA anagonga gonga au la, ila kwa uhakika navyowafahamu men wa kiafrika, UJITI LAZIMA UNYANYUKE BWANA labda wewe mahanithi. Au la basi huwa wamesha gonga kidogo kwanza.
 
Watu mna wivu kama waarabu,mwenye mke katulia kimya huku nyinyi mnajadili sijui pozi,sijui selemani kinywa wazi mwacheni mtoto wa watu ajitafutie riziki kama mtu huwezi kuhimili mihemko yako usiwahukumu wengine.Mbona vichaa wanatembea uchi na hamsemi au ndo nyie huwa mnawavizia usiku kuwabaka? Huyu kuona hamuwezi kumpata basi kelele kila siku,sio utu huo.
 
....Tafuta movie inaitwa Jasson Lyrics umuangalie Jada Pinket shughuli anayofanyiwa humo na ni mke wa Will Smith....nadhani ungekuwa ni wewe ungekufa kabisa!!:bowl:

si hapa kwetu bongo, US wapo kikazi zaidi hawa hapa wanatangaza biashara na ushahidi upo, cha wote huyu pochi yako tu wala si hela nyingi ufikiriavyo.
 
Nyie mnaongea vp? kabla ya kupost fikiria kwanza "KAMA ANGEKUWA MKEO" ndy kazi kuigiza kama hivo!...wangu NO! Hiyo ni kwa wabinti wa bongofleva, si mke wangu wa mtu?
 
Watu mna wivu kama waarabu,mwenye mke katulia kimya huku nyinyi mnajadili sijui pozi,sijui selemani kinywa wazi mwacheni mtoto wa watu ajitafutie riziki kama mtu huwezi kuhimili mihemko yako usiwahukumu wengine.Mbona vichaa wanatembea uchi na hamsemi au ndo nyie huwa mnawavizia usiku kuwabaka? Huyu kuona hamuwezi kumpata basi kelele kila siku,sio utu huo.

True that...
 
Paka mweusi, wewe nimwanaume au mwanamke? Mkeo anashikwa MAT*KO na mapaja na njemba nyingine kisa RIZKI na we unashabikia!!!! dunia ya sasa tuwaachieni nyie wenye nayo, sioni tofauti na mtu kuoa mke anacheza picha za ngono kisa RIZKI (utasema maigizo jamaa kazama ndani anainua na kushusha kiuno!). Kama hauna wivu na mkeo utakuwa na wivu na nani sasa? Wivu ni mapenzi, wewe mke utaona poa mmeo anashkwashkwa na mrembo mwingine na kuskilizia hisia...akirudi home anasema "hiyo ni kazi tu mama"...MWE! MIMI NI MBANTU...KAMA NI USHAMBA NDY UNANISUMBUA WACHA NIBAKI MSHAMBA!
 
We mwache huyu hajui. Ninawasi wasi ni ki-teeneger kingine hakijui uchungu wa mke. Mie hata iwe kazi acha tufe njaa kama hakuna nyingine. Yaani unakuta hivi hivi live bila hata effect kuongezwa kidogo alafu unaniambia kazi. Ndeka!!!!
 
ndio nyie nyie mnaohisi joti ni shoga kisa ameact kishoga...
sijui wenzetu mnaona beyond tunavyoona???

Irene kaza buti mama...be happy mumeo ni mmojawapo ya wanaume wachache wasio na kasumba/understanding...
hawa wanaokutuhumu sitashangaa hata nguo za kuvaa wanawapangia wake zao..kwa wivu..lol:smile-big:
 
Hv kwani joti ameigiza kishoga?...Nguo za kuvaa akinipangia kupangiwa na mke kwani jambo geni? asiponipangia mke wangu nguo ya kuvaa anipangie nani-house boy? Hayo ndy majukumu ya kupendana, siyo kuonyesha maziwa yako kwa wnaume kisa Riziki, usiwe mvivu wa kutafuta njia za kutafuta riziki, ukijiendekeza utaweza kujikuta unauza mwili kutafuta "rizki"!!! KUIGA KUNASUMBUA WENGI!
 
Back
Top Bottom