Movie Reviews

Yani zote hizi nimezisikia sikia ila sikushawishika kujua zikoje.Ila kwa hisani ya u-partnership nipe wiki hii ntakua nimeziangalia zote!Ohhhhh nimekumbuka....Life as we know it niliona review and the making...tena nadhani nilipanga kuitafuta ila nikasahau!

Tafuta Partner for i know we have the same test... you will not be disappointed...lol
 
I promise....Haya pumzisha hayo macho tusije tukashindwa kuhadithiana movie mwaka 2058!

ha ha ha.... wewe pumzika me doing kitu very interesting hapa... siwezi lala... (sio jamvini Partner....lol)
Take care and rest well..
 
It is wonderful.. katika list tafuta hii wadada wengi tunazipenda..

LIFE AS WE KNOW IT
THE ROMANTICS
OUT OF MY LEAGUE
WHEN IN ROME
DATE NIGHT

At least hizo for starters...lol
Kweli hapa sio kwangu lol... Years ago wakati nikiwa teen nilipata bahati ya kwenda Fontana De Trevi (When In Rome) na nilitupa coin lakini mpaka leo bila bila lol!!
 
the lincoln lawyer; kuna mtu kaiona hiyo movie, feedback? I like the actor - Matthew McConaughey..nimeona trailer tu
 
Kweli hapa sio kwangu lol... Years ago wakati nikiwa teen nilipata bahati ya kwenda Fontana De Trevi (When In Rome) na nilitupa coin lakini mpaka leo bila bila lol!!

Nimekukamata Eqlypz for it seems ni kwako pia...lol
You would not have reffered to the Fontana De Trevi for i
believe it triggered your child hood memory of the coin on the fountain..

Anyways naelewa why mpaka leo hujafanikiwa...lol
 
the lincoln lawyer; kuna mtu kaiona hiyo movie, feedback? I like the actor - Matthew McConaughey..nimeona trailer tu
Hii movie naisubiria kwenye dvd, nakitafuta kitabu chake nikisome kabla ya kuangalia movie yenyewe.
BJ Personally sijasikia hata hio trailer, but if it is McConaughey...it is a good movie...
To rain on your parade Fool's Gold na Ghosts of Girlfriends Past zilikuwa miyayusho sana -yawn-
 
Nimekukamata Eqlypz for it seems ni kwako pia...lol
You would not have reffered to the Fontana De Trevi for i
believe it triggered your child hood memory of the coin on the fountain..

Anyways naelewa why mpaka leo hujafanikiwa...lol

Wacha kuninanga..
 
Wacha kuninanga..

Nimekunanga vipi??? lol

Umetaja about the Fontana De Trevi plus the coin
a memory which was triggered by the movie "When in Rome"-- nice..
Umetaja kua you did the same na hujabahatika... tatizo you were young
ulikua hujui utakalo... i don't bliv you wished right... if you were a kid.
 
Hii movie naisubiria kwenye dvd,
nakitafuta kitabu chake nikisome kabla ya kuangalia movie yenyewe.

To rain on your parade Fool's Gold na Ghosts of Girlfriends Past zilikuwa miyayusho sana -yawn-

Mi ninacho hicho kitabu, kama vp ni pm address unayotaka nikitumie..
 
Matthew McConaughey stars in this legal thriller as a low-rent defense attorney named Mickey Haller. Most of the time, Mickey barely keeps his head above water, representing low-life clients and working out of the back of his car.

He thinks he's landed the case of a lifetime when he's hired to defend a rich playboy (Ryan Phillippe) who stands accused of rape and attempted murder, and eagerly accepts his new client and the massive payoff that's sure to come with him. But Mickey soon discovers that he's become ensnared in a twisted plot where no fee in the world is high enough to pay for the deadly workload, and his only hope of survival may just lay in his own skills as a long-practiced double-crosser.
 
Maneno yote iko kwa Transformers 3 Dark Of The Moon... Optimus Prime na Bumble Bee wako on fire....!! Too bad hii ni final installment.
"Today we take the battle to them!" - Optimus Prime
 
So kuna scene kwenye Transformers 3 which I suspect was filmed in Tanzania (well they used stock footage), ukiangalia vizuri hiyo part utaona mlima Kilimanjaro unaonekana kwenye background.
 
So kuna scene kwenye Transformers 3 which I suspect was filmed in Tanzania (well they used stock footage), ukiangalia vizuri hiyo part utaona mlima Kilimanjaro unaonekana kwenye background.

mmmh! i see you are still hooked with Transformers 3,
i believe it is high time you say everything you love about the movie...
I am logging out, but will definitely be back!!! Hopefully utakua ume fulfill request yangu..
 
Mi ninacho hicho kitabu, kama vp ni pm address unayotaka nikitumie..
Mkuu ahsante kwa offer, nishakipata kitabu ila bado sijaanza kukisoma...

Anybody going to watch Harry Potter this weekend?
 
mmmh! i see you are still hooked with Transformers 3,
i believe it is high time you say everything you love about the movie...
I am logging out, but will definitely be back!!! Hopefully utakua ume fulfill request yangu..

So far TF3 DOTM is the best movie of 2011 lol..
Anyway to answer your question
Storyline yake imetulia ukilinganisha na ya pili Ehren Kruger amefanya kazi nzuri sana nilivyotoka kwenye theatre nilienda tena kusoma history ya The Space Race.

Visual Effects ni Top Notch sijui nielezeeje itabidi uone mwenyewe ndio utaelewa.

Acting hii nayo ilikuwa nzuri characters zote including Rosie zilifit role zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom