Movie Reviews

Super 8 came out last week, I have a soft spot for J.J. Abrams na Spielberg kwa hiyo uwa naangalia movie yoyote walioko involved ila all bias aside it is a very good movie IMHO.
 
Partner umeadimika... niliku miss... how have you been?? Na afta the Dilema kuna movie umeongeza??
Nlikua napumzika kidogo parter...all is well!!Hopefully upande wako mambo ni shwari pia!!!Mmh nlikia sijaangalia The tourist nimeangalia leo...nimeipenda kweli.Then Gangsta paradise yani hii nilijikuta nampenda Lucky (the main character kama hujaiona bado) ...yani mpaka basi!Alafu Unstoppable sikuipenda kiviiile ila nilifurahi kumuona Denzel!
 
Ulikua na a cool selection.. katika hio selection what if we discuss The Tourist??
Tell me dear... umependa nini humo exactly... Personally..

Nampenda saaana Angelina Jolie nampenda pia na Jonny Depp.. wananikosha..
Nilipenda kua the way Angelina alionesha very sharp kichwani na kuchoma kwa ile barua..lol
Napenda the way wanapeana mistari kati ya Angelina na Depp wanapoonana for the first time..

Napenda the way Jolie (Elise) aliwakilisha wadada wanaojitambua kwa Depp (Taylor).... angalia hii dialogue...lol

Taylor; Would you like to have dinner??
Elise; Women don't like questions..
Taylor; Join me for dinner
Elise; Too demanding..
Taylor; Join me for dinner..
Elise; Another question
Taylor; I am having dinner if you would care to join me
 
Hapo kwenye The Tourist itabidi nikae pembeni tu maana the movie really disappointed me.
 
Hapo kwenye The Tourist itabidi nikae pembeni tu maana the movie really disappointed me.

I know what you mean... Ilipata saana critics for ilionekana kama vile Jolie na Depp
wake walikua wanauza tu sura... Hata hivyo nataka kujua what exactly you did not like..
 
I know what you mean... Ilipata saana critics for ilionekana kama vile Jolie na Depp
wake walikua wanauza tu sura... Hata hivyo nataka kujua what exactly you did not like..
The whole movie; i)iko slow ii) haina ile suspense niliyoitegemea ya kuniweka pembezoni mwa kiti iii)haileweki kama ni comedy ama thriller au suspense iko iko tu.
 
Ulikua na a cool selection.. katika hio selection what if we discuss The Tourist??Tell me dear... umependa nini humo exactly... Personally..Nampenda saaana Angelina Jolie nampenda pia na Jonny Depp.. wananikosha..Nilipenda kua the way Angelina alionesha very sharp kichwani na kuchoma kwa ile barua..lolNapenda the way wanapeana mistari kati ya Angelina na Depp wanapoonana for the first time..Napenda the way Jolie (Elise) aliwakilisha wadada wanaojitambua kwa Depp (Taylor).... angalia hii dialogue...lolTaylor; Would you like to have dinner??Elise; Women don't like questions..Taylor; Join me for dinnerElise; Too demanding..Taylor; Join me for dinner..Elise; Another questionTaylor; I am having dinner if you would care to join me
Kwanza kabisa mimi kama wewe nawapenda wote wawili...ila niliona kama Johnny Depp alipendeza sana kwenye hii movie...achilia mbali the fact tha he was a master mind and he played everyone in it...hata Elise pamoja na ujanja wake hakujua kwamba yeye ndie!!Nilipenda sana kwamba Alex na Frank the tourist was one of the same maana nilipenda tourist alivyojikita kumsaidia Elise mwishoni alafu nikaboreka kwamba Alex was no where to be seen wakati mwenzie anataka kuharibiwa sura nikamwona atakua coward flani tu hiv...mpaka nilipogundua ni wote ni mtu mmoja ndo nilifurahi !Alafu Elise alinifurahisha sana jinsi alivyokua anajiamini....natamani wadada wengi tungekua vile!
 
Unajua bana kujiamini saa ingine hata uzuri unachangia...lol... pamoja na intelligence...
Ila genuinely niliona kama director alishindwa kazi yake pale mwisho... i was somehow
confused kusema kweli as in huh! then why all the fuse ya kwenda hadi kutoa malalamiko ya
his life attempt?? (Infact hii scene ilinifurahisha police wanataka mtu akiwa killed sijui ndo akalalamike?? lol)

All in all the movie was OK.. Kimoja tu nilichoshangaa ni Clive Owen kukubali kucheza ile nafasi minor...
 
Unajua bana kujiamini saa ingine hata uzuri unachangia...lol... pamoja na intelligence...Ila genuinely niliona kama director alishindwa kazi yake pale mwisho... i was somehowconfused kusema kweli as in huh! then why all the fuse ya kwenda hadi kutoa malalamiko yahis life attempt?? (Infact hii scene ilinifurahisha police wanataka mtu akiwa killed sijui ndo akalalamike?? lol)All in all the movie was OK.. Kimoja tu nilichoshangaa ni Clive Owen kukubali kucheza ile nafasi minor...
I guess he had to make them believe he was just a tourist that somehow got mixed up with the wrong people.Besides kwani alijipeleka mwenyewe kushtaki au alikamatwa baada ya kumwangusha yule officer kwenye maji alafu ndo ikambidi ajieleze?! Alafu partner Clive was not in the movie bana...atleast not in the one i watched nwy!!
 
Mpenzi angalia mwisho kabisa... alokua ana deliver zile barua.. You remember the guy....
akakamatwa akasema am a tourist some guy paid me to distribute the letters/messages..
au nimechanganya madesa??? Pale kweli alikamatwa but alipokua anajieleza
Officera aliona tatizo dogo coz hajauwawa..
 
Mpenzi angalia mwisho kabisa... alokua ana deliver zile barua.. You remember the guy.... akakamatwa akasema am a tourist some guy paid me to distribute the letters/messages..au nimechanganya madesa??? Pale kweli alikamatwa but alipokua anajieleza Officera aliona tatizo dogo coz hajauwawa..
Umechanganya madesa partner...yani sio yeye kabisaaaa though inawezekana wakawa wanafanana kidoooogo!
 
The whole movie; i)iko slow ii) haina ile suspense niliyoitegemea ya kuniweka pembezoni mwa kiti iii)haileweki kama ni comedy ama thriller au suspense iko iko tu.

aaargh! Did not see this post... Sorry... and Thanks
Kuhusu suspense wouldnt have said better..
 
Umechanganya madesa partner...yani sio yeye kabisaaaa though inawezekana wakawa wanafanana kidoooogo!

Naona dear.. kweli nitafuatilia... Niambiie why hukupenda Unstopable??
Personally sikuipenda wala kuichukia na nikaona kama inafanana fanana na Pelham 123
 
Naona dear.. kweli nitafuatilia... Niambiie why hukupenda Unstopable??Personally sikuipenda wala kuichukia na nikaona kama inafanana fanana na Pelham 123
Yeah sema Pelham was waaaay better!There wasn‘t that much action or an interesting story to follow.Kazi kusubiria tu treni itakatiza wapi....
 
Yeah sema Pelham was waaaay better!There wasn‘t that much action or an interesting story to follow.Kazi kusubiria tu treni itakatiza wapi....

AshaDii salutes to that!!!! lol...
Umeangalia LIFE AS WE KNOW IT... Ya Hegel na Duhamel??
 
Lolzzz!Sijaiangalia...niambie kama niitafute ila nikiwa dissappointed nakupa adhabu!!

It is wonderful.. katika list tafuta hii wadada wengi tunazipenda..

LIFE AS WE KNOW IT
THE ROMANTICS
OUT OF MY LEAGUE
WHEN IN ROME
DATE NIGHT

At least hizo for starters...lol
 
It is wonderful.. katika list tafuta hii wadada wengi tunazipenda..LIFE AS WE KNOW ITTHE ROMANTICSOUT OF MY LEAGUEWHEN IN ROMEDATE NIGHTAt least hizo for starters...lol
Yani zote hizi nimezisikia sikia ila sikushawishika kujua zikoje.Ila kwa hisani ya u-partnership nipe wiki hii ntakua nimeziangalia zote!Ohhhhh nimekumbuka....Life as we know it niliona review and the making...tena nadhani nilipanga kuitafuta ila nikasahau!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom