Movie na series unazozipenda

Aisee series ya ROME ni bomba ila cjui kwanini haiku-hit kama zingine...
 
Prison break,community,las vegas,the simpsons,family guy
Community? for real? i find that whack pretty tacky, tasteless and childish.

Kwa wale wapenda mziki mnaeza kufatilia series mpya ya Kara Dio Guardi, kipo njema and I kinda like it people brainstorming stuff from scratch and showing some true talent, sio BS za American Idol. Ni maoni tu lakini.
 
season -prison break,lost,smallvile.movies-disturbia,takers and wrongturn 1,2 and 3.
 
Katika series zooooote mlizotaja,kama unataka kuangalia series iliyoenda shule na unataka ujifunze na ufurahi na uburudike,hakuna kama 24,tofauti na uzuri wake wa kupendwa na mtu mmoja mmoja,ilikuwa nomination kwenye award 68!!!! Ikashinda 20!!Haijawahi kutokea!Kwa vyovyote vile hakuna series inayoikaribia hii!Watu wameomba iendelee season ya 9 na kuendelea!
 
kwa upande wangu,series ni:
-prisoner break
-vampire diary
-desperate housewife
-lost
-true blood
reality tv,keeping up the kardashian,kendra,kimora lee.

dah yaan cjui nisemeje...zte hzo ndo my favorites!
 
Then unamiss vitu vzuri,tudors ipo mpaka season4..ni balaa..

A town series mpya zinachelewa kufika unamuuliza muuzaji series fulani anashangaa anasema hajawai kuisikia.
 
the footballer wifes...sexy in the city...the unity...desperate wife series,movies LOVE & BASKETBALL,I THINK I LOVE MY WIFE,NOT EASY BROKEN
 
Zangu hizi hapa. 1.24hour. 2.The seeker. 3.Robin hood. 4.Smillvile. hizi series unaweza kuangalia na familia. muv.1 Avatar. 2.Blood Diamond. nipe za kwako nikazitafute..


1 jumong

2. the land of wind

3. the emperor of the sea


watch out son..utaniambia
 
Series_The promise,more than love,milosis,Jumong,
Movie,Ti chi,my pastor,fake pastor,More than pain,Best wife,Best husband.
 
Kwa mnao penda seriez tafuteni hizi hapa
1. NIKITA
2. Gossip girl
3. V
hizo ndizo naziona kali kwa sasa ukiacha za zamani kama prison brk,24 na lost
 
the footballer wifes...sexy in the city...the unity...desperate wife series,movies LOVE & BASKETBALL,I THINK I LOVE MY WIFE,NOT EASY BROKEN
Aisee B'real tunaweza kaa sehemu moja kuchek same movie. Umesahau A thine line btn love and hate, soul food, Above the rim, Juice, Friday na mwisho wa yote ni Rush hour 1,2 na 3!
 
Tafteni hii mini-series inaitwa XIII
xiii.jpg
 
poetic justice, ticking clock, the perfume, the last don, big mama, debators...the mentalist, prison break, bing bang theory, 24, traveller, saw....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom