Movie na series unazozipenda

Kivipi huna moyo wa mchezo? Jack Bauer amejua kuekti ile picha, wasanii wakubwa wote wamempigia salute, chucknoriss ameielezea kuwa hajawahi kutokea mtu kuekti kitu chenye mvuto kama 24. Imewaliza watu sana.

nilisema ''ironically' pale kwanza mkuu!kwamba ni nzuri mno na inakufanya kama unaishi kwenye mazingira yake humo humo ndo nikasema ''sina moyo wa kuchezea'' wa kushtuana hivyo
 
nilisema ''ironically' pale kwanza mkuu!kwamba ni nzuri mno na inakufanya kama unaishi kwenye mazingira yake humo humo ndo nikasema ''sina moyo wa kuchezea'' wa kushtuana hivyo

Sio unakuwa chronic mkuu wa hicho kitu?
 
Katika kutafuta tafuta Seriea za kudownload ., nikaaata moja ..inaitwa " the haves and have nots "
Kwa kweli si mbaya .
 
Ni filamu nyingi sana ngoja kwa leo nitaje chache tu

1. Colombiana
2. Dejavu
3. 8 Mile
4. Paid in full
5. Metro
6. Cradle to the grave
7. Sister act 2
8. Exit wounds
9. Swordfish
10.Against the rope
 
Mkuu ww ndio unajua series best series ever made ndio hizo "game of thrones " na "breaking bad" all with IMDB score ya 9.4/10 hizo series zenu zote zinaishia 8.8/10 series hizi mbili zinafiatiliwa had na obama mwenyenywe rihana na bufet , bila kumsahau bill gate acha kabisaaa hizi zingine nzuri bt haijawahi tokea kama hizi zakina walter white

hata 24 Obama ameifuatilia.....ametolea mfano hadi kwenye speech zake na waandishi wa habari

24 is the best for me.
 
WATCHED
24,
Prison break,
The blacklist,
Arrow,
Legend,
Intelligence,
Nikita,
Missing,
Homeland security,
Strike Back,
Scorpion,
The lottery
The event
Breaking bad
Person of interest
Marvel Agent of shield
The Unit
Tyrant
Gang related
Iris
Athena
City hunter
Lost(though ipo tofauti na hizo za juu)

napenda series za kipelelezi na u-jiniuzi.

nimefuatilia Uzi huu kuna zingine nimeziona hapa inabidi nifuatilie starting with
.the traveller
.Burn notice
.CSI
.Last resort
.Command and chief
.undercover boss
.Black sail
.Fugitive plan B
.Hostages
.XIII
.Weeds
.White collar
.Covert Affairs

NB. kama kuna series nimesahau na inafanana na hio ntaarifu plz.


thanks....
 
Kj
WATCHED
24,
Prison break,
The blacklist,
Arrow,
Legend,
Intelligence,
Nikita,
Missing,
Homeland security,
Strike Back,
Scorpion,
The lottery
The event
Breaking bad
Person of interest
Marvel Agent of shield
The Unit
Tyrant
Gang related
Iris
Athena
City hunter
Lost(though ipo tofauti na hizo za juu)

napenda series za kipelelezi na u-jiniuzi.

nimefuatilia Uzi huu kuna zingine nimeziona hapa inabidi nifuatilie starting with
.the traveller
.Burn notice
.CSI
.Last resort
.Command and chief
.undercover boss
.Black sail
.Fugitive plan B
.Hostages
.XIII
.Weeds
.White collar
.Covert Affairs

NB. kama kuna series nimesahau na inafanana na hio ntaarifu plz.


thanks....

The walking dead
All is gone
The long waiting
Isidingo
Scandal
 
Legend Of The Seeker
Smillvile
Jumong
Empres Ki
City Hunter
Warrior Baek Dong Soo
The Land Of The Wind
Slave Hunter
The Great Queen Of Seedok
The Night Watchman
Joseon Gunman
KYLE XY
Bridal Mask
Iijmae
The Return Of Iijmae
Big Man
Vampire Diaries
 
Aseeee wadau
Natafuta series flani ivi ilishaisha now
Inaitwa glee
Aliyenayo au anaejua jinsi ya kuiapata naomba anambie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom