Movie mpya

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Hello! JF
Kwa wale wakazi na wafanyabiashara wa MWANZA.

Naweza pata wapi Movie mpya za mbele. Siyo katika collection yaani 24 in 1. But kama Single kwa Bei ya Jumla ama Rejareja Maana Nimetafuta town naona ni Ngumu kuzipata, wanazo za kibongo tu na Za mbele kama zipo katika Collection na si Mpya.

Msaada wakuu. Duka gani naweza pata. Natanguliza shukrani.
 
so unataka duka la Mwanza au? huku bongo karibu kila siku tunaziona,vpi kwani umeiona GHOST RIDER 2? ni 1 ya movie zilizotoka hivi karibuni'
nimeitumia hiyo as a reference kwa movie za huo msimu ili nikusaidie hata kwa mawazo tu mkuu.
 
Ndo nazitafuta! Ghost rider2 sijaiona ingawa imetoka FEB 2012. Ila nipo MWANZA.

Kuna kama John carter/This means War etc.
 
Ungekuwa Dar ningekupa nina picha mpya kama ni wingi na ukubwa ni kama 900GB na ushee hivi
 
nataka fanya hii biashara ya kuuza dvd mpya za single na collection na collection, na dvd za kibongo, plz ambaye yupo intrested a ni pm tu discuss tunawezeje ku tengeneza pesa kupitia hii biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom