MOVIE IN DEMAND: Excerpt From Movie Script Titled ...MAHALI FULANI TANZANIA

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Mahali Fulani TANZANIA
WAZO LINAKUJA…….Kikwete na Lowasa wanajadili;

Lowassa: Hivi mshikaji haiwezekani mmoja wetu akawa rais?

Kikwete: Kwa kusita ….inawezekana ila siyo rahisi sana

Lowassa:
Inawezekana sana, sema haujaamua tu

Kikwete: Akiangalia chini anawaza kitu Fulani, mara anashtuka na kumweleza ukweli

Lowassa: ''niliwahi kuwaza kuwa rais siku moja ila sidhani kama ndoto yangu inaweza kutimia!

Lowassa:
Tujaribu wewe ukipata mimi waziri mkuu, mimi nikipata wewe waziri mkuu sawa?Lowassa na Kikwete

Wanaanza kampeni mbalimbali huku na huko, wanakutana na usalama wa taifa, jeshi, na viongozi wa dini, na wameishaanza kupata michango ya hapa na pale. Wanaenda kurudisha fomu zao kwa mara ya kwanza..the boys two men. Jeshi haliwataki, uslama wa taifa umewatolea nje…….lakini hawakati tamaa!..Kikwete na Lowassa wanaenda kumwona Mwinyi, kuwa wanaomba support yake!!!

Usalama wa taifa
Wana ripoti kwa Nyerere na Mwinyi kuwa kuna watu wameanza kampeni mpaka kwenda kwenye dolla. Usalama wa taifa wanaleta jina la Mr.Clean..Mkapa kwa Nyerere kuwa hana tatizo…wanamweleza Nyerere kuwa Kikwete ameishamwona Mwinyi kutaka support yake!
DODOMA TANZANIA
Nyerere (anamuuliza kitu Mwinyi); nimesikia kuna vijna wawili wanataka urais kwa udi na uvumba?

Mwinyi : Sijasikia (kadanganya)

Nyerere:
Nilikuambia kuwa uwe karibu na usalam wa taifa mbona mimi Napata taarifa wewe huna?

Mwinyi: Kimya
Nyerere:
usipokua makini utapinduliwa dogo?

Mwinyi:
Tufanyeje mkuu?

Nyerere: Niachie Lowassa, na ninakuachia Kikwete…. ila asipate kura nyingi (mtego)

MCHUJO
Nyerere ……anamtoa knockout Lowasa

Kikwete: Kura hazijatosha
MKAPA ERA ENDING
Lowassa na KikweteWanakumbushia wazo lao sehemu Fulani……

Lowassa: Yule mzee marehemu nom asana alini haribia mkuu, sasa hapa wewe tutahakikisha utakuwa RAIS!

Kikwete :
Sawa ila je tutafanyaje? Usalama wa taifa, polisi na jeshi hawanaitaki kabisa!!!Lowassa : usihofu fedha tu zitawakalisha kimya

Lowassa (anaendelea) tutatumia media, makanisa, misikiti, wasanii kukupamba wewe

Kikwete …
fedha nyingi sana zitahitajika…(anakohoa kidogo….huku ameshika kiuno)

Kikwete :(anaendelea) kwanza nikamwone Mkapa kuhusu fedha za
EPA tunaweza kuzitumia
Lowassa ; Usiende, Mkapa hawezi kukubali yule, wala usimuhusihe kabisa kwenye mipango yako ya urais!

Wanabishana kidogo….

Kikwete
: acha nijaribu….
MKAPA NA KIKWETE

Kikwete : Boss, naomba tutumie fedha za EPAMkapa : Kwa ajili ya nini?

Kikwete: anasita kusema na kuleta siasa nyingi

Mkapa ; anajibu kwa kifupi NO..haiwezekani.
KIKWETE, LOWASSA NA SITA

Wanaanza kampeni halmashauri kuu ya taifa ya ccm, usalama wa taifa, jeshini, polisi, majaji, makanisani na misikitini, media ziko kazinin.k……anapata baadhi ya watu halmashauri kuu, anapata support ya wan-dini, na wana nchi wengi. Usalam wa taifa hawamtaki…jeshi hawamtaki. Akina Sita wanaingilia kati kuokoa jahazi (sijui alitokea wapi), mkutano wa Kikwete na Sita, unapelekea sita kuhadiwa uwaziri mkuu..bila Lowassa kujua
Usalama wa taifa na Mkapa
UWT: Mkuu vipi mbona kimya nani mrithi wako?Mkapa..Salim!

UWT: good!Mkapa; (huku akifunga novel aliyokuwa anasoma).. nitahakikisha halmashauri inampitisha Salim ikishindikana Mwandosya! Kikwete hafai hata kwa dawa!
LOWASSA, KIKWETE, ROSTAM…
Lowassa: nasikia Mkapa hakutaki Kikwete anamtaka salim

Kikwete; nimesikia

Rostam: cut it short we need money we will bribe these people..leave this to meKikwete: ongea Kiswahili basi, ili tupange vizuri…

Rostam: Mimi , Lowassa na baadhi ya marafiki zetu tutahakikisha unaingia ikulu…
MATOKEO NDANI YA CCM
Halmashauri kuu wanaongwa, wajumbe wanaongwa……Matokeo Yanaonekana kuwaduwaza Mkapa na UWT…….confusion imetawala hawakumtegemea kikwete, wanategemea visasi sasa!..Mwinyi anafurahi….Kikwete anamwona Rwekaza Mkandala…..Mkandala anampa kauli mbiu ya Nguvu Mpya, kasi mpya…
UTEUZI WA WAZIRI MKUU
Sita: anampigia simu Kikwete, (mkuu usinisahau mwenzio sili silali nasubiria kutangazwa waziri mkuu)

Kikwete: akisonya sonya…Sita haitawezekana unajua….unajua……Lowassa aliwahi siku nyingi kidogo, wewe utapata u-spika na kila marupurupu ya kama waziri mkuu utapata

Sita:
anakata simu kwa hasira!Kikwete anabadili wakuu wa idara zote ambazo hazikumpa support alivyokuwa anautaka urais
SITA NA KIKWETE SEHEMU FULANI
Kikwete na Six wanapatana sehemu Fulani…..

Sita:
waziri mkuu ameishakuzidi nguvu, yeye ndiyo kama rais sasaKikwete: fanya kitu aondoke madarakani, please usinitaje jina langu hatujuani katika hili

Sita:
sawa mkuu!Lowassa anajiuzulu lakini anajua mchezo ulivyopikwa!
KUJIVUA GAMBA

Kikwete; Huyu jamaa anaweza kuchukua nchi na kulipiza kisasi, mke wangu na watoto na riz1 wangu watakuwa hatarini!!

Kikwete anaita wanamtandao na kujadili kiundani! Anamwona Mkandala tena, Mkandala anamweleza aseme jivue gamba! Kikwete anaibuka nayo, lengo ni kumtoa Lowassa nje
!

KIKWETE,LOWASSA ROSTAM na CHENGE sehemu Fulani Dodoma..kikao cha kujivua gamba

Rostam: (akimkazia macho Kikwete) Tulitumia 32 billioni kukuweka madarakani

Kikwete: NajuaLowassa: nilitoa 10 billioni zile za EPA unajua hazikutoshi

Chenge: utapata aibu katika hili mheshimiwa? Mengine tumekubali kutukanwa na kubeba mizigo lakini wewe ndie chanzo

Rostam: Mwambie Mkama na Nape wako, wabadili upepo wa hili swala, hatujaamua kusema,… damu itamwagika nchi hii acha upumbavu wako, I made you who you are today!!! Same force that installed you there will be used equally to un-install!

Kikwete:(anajibu kwa kiingereza) I understand sir!
2015
Lowassa pamoja na madhambi yake anakubalika UWT,Jeshini, Polisi, n.k simply kwa sababu mabosi walioletwa kwenye hizi sectors hawakupendwa, kwa hiyo uasi uliofanyika ni ..BORA LOWASSASLAA lilikuwa chaguo la UWT..Ila wanasema wanamwogopa SLAA kwa sababu haambiliki, ana misimamo na unpredictable, hawezi kuongozeka!UWT wamechanganyikiwa,jeshi limegawanyika, polisi wamegawanyika. Pamoja na nguvu ya Lowassa ya wengi UWT wanakabiliwa na changamoto kuwa heshima ya kitengo hiki irudi……wenye maamuzi mazito hawamtaki LowassaJeshi kuchukua nchi……….This is UWT plan kama hakitaeleweka......will it be?

Mahali Fulani TANZANIA
WAZO LINAKUJA…….Kikwete na Lowasa wanajadili;Lowassa: Hivi mshikaji haiwezekani mmoja wetu akawa rais?Kikwete: Kwa kusita ….inawezekana ila siyo rahisi sanaLowassa: Inawezekana sana, sema haujaamua tuKikwete: Akiangalia chini anawaza kitu Fulani, mara anashtuka na kumweleza ukweli Lowassa: ''niliwahi kuwaza kuwa rais siku moja ila sidhani kama ndoto yangu inaweza kutimia!Lowassa: Tujaribu wewe ukipata mimi waziri mkuu, mimi nikipata wewe waziri mkuu sawa?Lowassa na KikweteWanaanza kampeni mbalimbali huku na huko, wanakutana na usalama wa taifa, jeshi, na viongozi wa dini, na wameishaanza kupata michango ya hapa na pale. Wanaenda kurudisha fomu zao kwa mara ya kwanza..the boys two men. Jeshi haliwataki, uslama wa taifa umewatolea nje…….lakini hawakati tamaa!..Kikwete na Lowassa wanaenda kumwona Mwinyi, kuwa wanaomba support yake!!!
Usalama wa taifa
Wana ripoti kwa Nyerere na Mwinyi kuwa kuna watu wameanza kampeni mpaka kwenda kwenye dolla. Usalama wa taifa wanaleta jina la Mr.Clean..Mkapa kwa Nyerere kuwa hana tatizo…wanamweleza Nyerere kuwa Kikwete ameishamwona Mwinyi kutaka support yake!
DODOMA TANZANIA
Nyerere (anamuuliza kitu Mwinyi); nimesikia kuna vijna wawili wanataka urais kwa udi na uvumba? Mwinyi : Sijasikia (kadanganya)Nyerere: Nilikuambia kuwa uwe karibu na usalam wa taifa mbona mimi Napata taarifa wewe huna?Mwinyi: KimyaNyerere: usipokua makini utapinduliwa dogo?Mwinyi: Tufanyeje mkuu?Nyerere: Niachie Lowassa, na ninakuachia Kikwete…. ila asipate kura nyingi (mtego)
MCHUJO
Nyerere ……anamtoa knockout LowasaKikwete: Kura hazijatosha
MKAPA ERA ENDING
Lowassa na KikweteWanakumbushia wazo lao sehemu Fulani……Lowassa: Yule mzee marehemu nom asana alini haribia mkuu, sasa hapa wewe tutahakikisha utakuwa RAIS!Kikwete : Sawa ila je tutafanyaje? Usalama wa taifa, polisi na jeshi hawanaitaki kabisa!!!Lowassa : usihofu fedha tu zitawakalisha kimya Lowassa (anaendelea) tutatumia media, makanisa, misikiti, wasanii kukupamba weweKikwete …fedha nyingi sana zitahitajika…(anakohoa kidogo….huku ameshika kiuno)Kikwete :(anaendelea) kwanza nikamwone Mkapa kuhusu fedha za EPA tunaweza kuzitumiaLowassa ; Usiende, Mkapa hawezi kukubali yule, wala usimuhusihe kabisa kwenye mipango yako ya urais!Wanabishana kidogo….Kikwete: acha nijaribu….
MKAPA NA KIKWETE
Kikwete : Boss, naomba tutumie fedha za EPAMkapa : Kwa ajili ya nini?Kikwete: anasita kusema na kuleta siasa nyingiMkapa ; anajibu kwa kifupi NO..haiwezekani.
KIKWETE, LOWASSA NA SITA
Wanaanza kampeni halmashauri kuu ya taifa ya ccm, usalama wa taifa, jeshini, polisi, majaji, makanisani na misikitini, media ziko kazinin.k……anapata baadhi ya watu halmashauri kuu, anapata support ya wan-dini, na wana nchi wengi. Usalam wa taifa hawamtaki…jeshi hawamtaki. Akina Sita wanaingilia kati kuokoa jahazi (sijui alitokea wapi), mkutano wa Kikwete na Sita, unapelekea sita kuhadiwa uwaziri mkuu..bila Lowassa kujua
Usalama wa taifa na Mkapa
UWT: Mkuu vipi mbona kimya nani mrithi wako?Mkapa..Salim!UWT: good!Mkapa; (huku akifunga novel aliyokuwa anasoma).. nitahakikisha halmashauri inampitisha Salim ikishindikana Mwandosya! Kikwete hafai hata kwa dawa!
LOWASSA, KIKWETE, ROSTAM…
Lowassa: nasikia Mkapa hakutaki Kikwete anamtaka salimKikwete; nimesikiaRostam: cut it short we need money we will bribe these people..leave this to meKikwete: ongea Kiswahili basi, ili tupange vizuri…Rostam: Mimi , Lowassa na baadhi ya marafiki zetu tutahakikisha unaingia ikulu…
MATOKEO NDANI YA CCM
Halmashauri kuu wanaongwa, wajumbe wanaongwa……Matokeo Yanaonekana kuwaduwaza Mkapa na UWT…….confusion imetawala hawakumtegemea kikwete, wanategemea visasi sasa!..Mwinyi anafurahi….Kikwete anamwona Rwekaza Mkandala…..Mkandala anampa kauli mbiu ya Nguvu Mpya, kasi mpya…
UTEUZI WA WAZIRI MKUU
Sita: anampigia simu Kikwete, (mkuu usinisahau mwenzio sili silali nasubiria kutangazwa waziri mkuu)Kikwete: akisonya sonya…Sita haitawezekana unajua….unajua……Lowassa aliwahi siku nyingi kidogo, wewe utapata u-spika na kila marupurupu ya kama waziri mkuu utapataSita: anakata simu kwa hasira!Kikwete anabadili wakuu wa idara zote ambazo hazikumpa support alivyokuwa anautaka urais
SITA NA KIKWETE SEHEMU FULANI
Kikwete na Six wanapatana sehemu Fulani…..Sita: waziri mkuu ameishakuzidi nguvu, yeye ndiyo kama rais sasaKikwete: fanya kitu aondoke madarakani, please usinitaje jina langu hatujuani katika hiliSita: sawa mkuu!Lowassa anajiuzulu lakini anajua mchezo ulivyopikwa!
KUJIVUA GAMBA
Kikwete; Huyu jamaa anaweza kuchukua nchi na kulipiza kisasi, mke wangu na watoto na riz1 wangu watakuwa hatarini!!Kikwete anaita wanamtandao na kujadili kiundani! Anamwona Mkandala tena, Mkandala anamweleza aseme jivue gamba! Kikwete anaibuka nayo, lengo ni kumtoa Lowassa nje!
KIKWETE,LOWASSA ROSTAM na CHENGE sehemu Fulani Dodoma..kikao cha kujivua gamba
Rostam: (akimkazia macho Kikwete) Tulitumia 32 billioni kukuweka madarakaniKikwete: NajuaLowassa: nilitoa 10 billioni zile za EPA unajua hazikutoshiChenge: utapata aibu katika hili mheshimiwa? Mengine tumekubali kutukanwa na kubeba mizigo lakini wewe ndie chanzoRostam: Mwambie Mkama na Nape wako, wabadili upepo wa hili swala, hatujaamua kusema,… damu itamwagika nchi hii acha upumbavu wako, I made you who you are today!!! Same force that installed you there will be used equally to un-install!Kikwete:(anajibu kwa kiingereza) I understand sir!
2015
Lowassa pamoja na madhambi yake anakubalika UWT,Jeshini, Polisi, n.k simply kwa sababu mabosi walioletwa kwenye hizi sectors hawakupendwa, kwa hiyo uasi uliofanyika ni ..BORA LOWASSASLAA lilikuwa chaguo la UWT..Ila wanasema wanamwogopa SLAA kwa sababu haambiliki, ana misimamo na unpredictable, hawezi kuongozeka!UWT wamechanganyikiwa,jeshi limegawanyika, polisi wamegawanyika. Pamoja na nguvu ya Lowassa ya wengi UWT wanakabiliwa na changamoto kuwa heshima ya kitengo hiki irudi……wenye maamuzi mazito hawamtaki LowassaJeshi kuchukua nchi……….This is UWT plan kama hakitaeleweka......will it be?
Itakuwa Movie kali sana, ulichoandika inaonekana kama umekisoma kwenye fikra zangu, safi sana Engineer.
 
Tuanze mchakato wa kumpata Movie Director? Au Mkuu utai-Direct mwenyewe?
 
Mahali Fulani TANZANIA
WAZO LINAKUJA…….Kikwete na Lowasa wanajadili;

Lowassa: Hivi mshikaji haiwezekani mmoja wetu akawa rais?

Kikwete: Kwa kusita ….inawezekana ila siyo rahisi sana

Lowassa:
Inawezekana sana, sema haujaamua tu

Kikwete: Akiangalia chini anawaza kitu Fulani, mara anashtuka na kumweleza ukweli

Lowassa: ''niliwahi kuwaza kuwa rais siku moja ila sidhani kama ndoto yangu inaweza kutimia!

Lowassa:
Tujaribu wewe ukipata mimi waziri mkuu, mimi nikipata wewe waziri mkuu sawa?Lowassa na Kikwete

Wanaanza kampeni mbalimbali huku na huko, wanakutana na usalama wa taifa, jeshi, na viongozi wa dini, na wameishaanza kupata michango ya hapa na pale. Wanaenda kurudisha fomu zao kwa mara ya kwanza..the boys two men. Jeshi haliwataki, uslama wa taifa umewatolea nje…….lakini hawakati tamaa!..Kikwete na Lowassa wanaenda kumwona Mwinyi, kuwa wanaomba support yake!!!

Usalama wa taifa
Wana ripoti kwa Nyerere na Mwinyi kuwa kuna watu wameanza kampeni mpaka kwenda kwenye dolla. Usalama wa taifa wanaleta jina la Mr.Clean..Mkapa kwa Nyerere kuwa hana tatizo…wanamweleza Nyerere kuwa Kikwete ameishamwona Mwinyi kutaka support yake!
DODOMA TANZANIA
Nyerere (anamuuliza kitu Mwinyi); nimesikia kuna vijna wawili wanataka urais kwa udi na uvumba?

Mwinyi : Sijasikia (kadanganya)

Nyerere:
Nilikuambia kuwa uwe karibu na usalam wa taifa mbona mimi Napata taarifa wewe huna?

Mwinyi: Kimya
Nyerere:
usipokua makini utapinduliwa dogo?

Mwinyi:
Tufanyeje mkuu?

Nyerere: Niachie Lowassa, na ninakuachia Kikwete…. ila asipate kura nyingi (mtego)

MCHUJO
Nyerere ……anamtoa knockout Lowasa

Kikwete: Kura hazijatosha
MKAPA ERA ENDING
Lowassa na KikweteWanakumbushia wazo lao sehemu Fulani……

Lowassa: Yule mzee marehemu nom asana alini haribia mkuu, sasa hapa wewe tutahakikisha utakuwa RAIS!

Kikwete :
Sawa ila je tutafanyaje? Usalama wa taifa, polisi na jeshi hawanaitaki kabisa!!!Lowassa : usihofu fedha tu zitawakalisha kimya

Lowassa (anaendelea) tutatumia media, makanisa, misikiti, wasanii kukupamba wewe

Kikwete …
fedha nyingi sana zitahitajika…(anakohoa kidogo….huku ameshika kiuno)

Kikwete :(anaendelea) kwanza nikamwone Mkapa kuhusu fedha za
EPA tunaweza kuzitumia
Lowassa ; Usiende, Mkapa hawezi kukubali yule, wala usimuhusihe kabisa kwenye mipango yako ya urais!

Wanabishana kidogo….

Kikwete
: acha nijaribu….
MKAPA NA KIKWETE

Kikwete : Boss, naomba tutumie fedha za EPAMkapa : Kwa ajili ya nini?

Kikwete: anasita kusema na kuleta siasa nyingi

Mkapa ; anajibu kwa kifupi NO..haiwezekani.
KIKWETE, LOWASSA NA SITA

Wanaanza kampeni halmashauri kuu ya taifa ya ccm, usalama wa taifa, jeshini, polisi, majaji, makanisani na misikitini, media ziko kazinin.k……anapata baadhi ya watu halmashauri kuu, anapata support ya wan-dini, na wana nchi wengi. Usalam wa taifa hawamtaki…jeshi hawamtaki. Akina Sita wanaingilia kati kuokoa jahazi (sijui alitokea wapi), mkutano wa Kikwete na Sita, unapelekea sita kuhadiwa uwaziri mkuu..bila Lowassa kujua
Usalama wa taifa na Mkapa
UWT: Mkuu vipi mbona kimya nani mrithi wako?Mkapa..Salim!

UWT: good!Mkapa; (huku akifunga novel aliyokuwa anasoma).. nitahakikisha halmashauri inampitisha Salim ikishindikana Mwandosya! Kikwete hafai hata kwa dawa!
LOWASSA, KIKWETE, ROSTAM…
Lowassa: nasikia Mkapa hakutaki Kikwete anamtaka salim

Kikwete; nimesikia

Rostam: cut it short we need money we will bribe these people..leave this to meKikwete: ongea Kiswahili basi, ili tupange vizuri…

Rostam: Mimi , Lowassa na baadhi ya marafiki zetu tutahakikisha unaingia ikulu…
MATOKEO NDANI YA CCM
Halmashauri kuu wanaongwa, wajumbe wanaongwa……Matokeo Yanaonekana kuwaduwaza Mkapa na UWT…….confusion imetawala hawakumtegemea kikwete, wanategemea visasi sasa!..Mwinyi anafurahi….Kikwete anamwona Rwekaza Mkandala…..Mkandala anampa kauli mbiu ya Nguvu Mpya, kasi mpya…
UTEUZI WA WAZIRI MKUU
Sita: anampigia simu Kikwete, (mkuu usinisahau mwenzio sili silali nasubiria kutangazwa waziri mkuu)

Kikwete: akisonya sonya…Sita haitawezekana unajua….unajua……Lowassa aliwahi siku nyingi kidogo, wewe utapata u-spika na kila marupurupu ya kama waziri mkuu utapata

Sita:
anakata simu kwa hasira!Kikwete anabadili wakuu wa idara zote ambazo hazikumpa support alivyokuwa anautaka urais
SITA NA KIKWETE SEHEMU FULANI
Kikwete na Six wanapatana sehemu Fulani…..

Sita:
waziri mkuu ameishakuzidi nguvu, yeye ndiyo kama rais sasaKikwete: fanya kitu aondoke madarakani, please usinitaje jina langu hatujuani katika hili

Sita:
sawa mkuu!Lowassa anajiuzulu lakini anajua mchezo ulivyopikwa!
KUJIVUA GAMBA

Kikwete; Huyu jamaa anaweza kuchukua nchi na kulipiza kisasi, mke wangu na watoto na riz1 wangu watakuwa hatarini!!

Kikwete anaita wanamtandao na kujadili kiundani! Anamwona Mkandala tena, Mkandala anamweleza aseme jivue gamba! Kikwete anaibuka nayo, lengo ni kumtoa Lowassa nje
!

KIKWETE,LOWASSA ROSTAM na CHENGE sehemu Fulani Dodoma..kikao cha kujivua gamba

Rostam: (akimkazia macho Kikwete) Tulitumia 32 billioni kukuweka madarakani

Kikwete: NajuaLowassa: nilitoa 10 billioni zile za EPA unajua hazikutoshi

Chenge: utapata aibu katika hili mheshimiwa? Mengine tumekubali kutukanwa na kubeba mizigo lakini wewe ndie chanzo

Rostam: Mwambie Mkama na Nape wako, wabadili upepo wa hili swala, hatujaamua kusema,… damu itamwagika nchi hii acha upumbavu wako, I made you who you are today!!! Same force that installed you there will be used equally to un-install!

Kikwete:(anajibu kwa kiingereza) I understand sir!
2015
Lowassa pamoja na madhambi yake anakubalika UWT,Jeshini, Polisi, n.k simply kwa sababu mabosi walioletwa kwenye hizi sectors hawakupendwa, kwa hiyo uasi uliofanyika ni ..BORA LOWASSASLAA lilikuwa chaguo la UWT..Ila wanasema wanamwogopa SLAA kwa sababu haambiliki, ana misimamo na unpredictable, hawezi kuongozeka!UWT wamechanganyikiwa,jeshi limegawanyika, polisi wamegawanyika. Pamoja na nguvu ya Lowassa ya wengi UWT wanakabiliwa na changamoto kuwa heshima ya kitengo hiki irudi……wenye maamuzi mazito hawamtaki LowassaJeshi kuchukua nchi……….This is UWT plan kama hakitaeleweka......will it be?

hiyo pseudocode nimeikubali mwanangu.

sasa chagua programming language inayoeleweka kirahisi ili tukusaidie ku-develop.
 
nice script,ila inabidi itengenezwe na kuuzwa kwa siri kama darwin's nightmare
Kwanini iuzwe kwa siri? Tamaa zao za madaraka si ndizo zimelifikisha Taifa hapa lilipo? Umeme taabu, mauaji ya watu wasio na hatia kila mahali, maisha magumu nk. Walifikiri U-Rais ni lelemama?
 
Back
Top Bottom