Movie iliyonisikitisha sana kuhusu Tanzania

Darwin's Nightmare,inawezekana ushawahi kuiangalia au hujawahi but kama hujawahi kuiangalia nakushauri uiangalie, this is real life about mwanza ,but sijui kuwa mpaka sasa hivi hili life bado lipo mwanza au vipi.

Ni real life kwa baadhi ya wakazi lets be clear about this. Ikiwa kama hali ya mwanza general iko hivi sasa Darwin night mare ya Dodoma, Singida itakuwaje.?

Mimi binafsi nikingalia hii picha sababu najua mkoa wa mwanza huwa najiuliza hivi ile mikoa mingine hali ikoje? Atleast wasio na uwezo mwanza wanaweza kula mapanki. Kuna some people tanzania hii tunayosema ya amani wanatamani hayo mapanki.

Ukingalia hii picha ukapiga pichaya tanzania zima ndo unaweza kuona ukubwa wa tatizo. to me its beyond mwanza.
 
Hii hapa kwa hisani ya Youtube.

God Bless Tanzania..
 
Last edited by a moderator:
Masikini wanaokosa hata mlo 1 kwa siku hawapo mwanza tu wapo kila sehemu ktk dunia hii,ila africa ndio mambo yamezidi kutokana na viongozi mafisadi.
 
Serikali ilipiga kelele eti ni uongo, wakati haya mambo ni kweli kabisa.
 
IVUGA ngoja niidownload niicheki man!

Back
Top Bottom