John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,464
- 1,824
focus ya will smith
Ni nayo sijaielewa wala kuipendaIp Man 3. Kuna mkono hatari kati ya Donnie Yen vs Mike Tyson
Pole sana mkuu.Ni nayo sijaielewa wala kuipenda
Asante mkuuPole sana mkuu.
MIE MOVI HIZI N ZILE ZA SHAOLIN MASTER HAPANA SIANGALIIConcussion na mad max furry
Dope is my favorite movie...ASAP Rock ametisha...mkuu naona ulimkubali mpaka ukachukua iwe avatar yako...SICARIO , DOPE , SPECTRE , CLOSE RANGE
Hapana , ni hovyo tu,fiction ya ajabuajabuCaptain America civil War 2016. noma
Smith wamemtoa kimtindo,alilipuliwa na kufa kwenye mlipuko, imebaki family yake, kitu resurgence, "we had 20,years to prepare and so they did"Ya will smith?
mkuu vipi haijatoka season mpya bado?Series mpya ya "Majipu"
Hosted by JPM ft. MKM
Season mpya ndio ipo edting, itatoka soon!mkuu vipi haijatoka season mpya bado?
Ipo inaitwa retreat of lipumbamkuu vipi haijatoka season mpya bado?
Za Mtoni au hizi hizi za akina Bambo na Ray ?Tunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?