Movie - Courageous (2011) = Resolution za 2012

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Wakati mwaka 2011 unaishia ..inabidi kufanya resolution za mwaka 2012...

Ningewashauri (hasa kina baba au kina baba watarajiwa)... Please tafuta muda na angalia movie... Courageous (2011) .. Courageous (2011) - IMDb au Courageous - Available on DVD & Blu-ray/DVD combo pack January 17, 2012....

NB: Ingawa DVD na Blu-Ray zinatoka mwakani...lakini kama .uki-goggle unaweza kujua utaweza kuangalia kivipi online au download..

Disclaimer:Binafsi sishabikii suala la piracy lakini kwa nchi zetu za kimasikini ni akili kichwani kwako au fikiri kabla hujaamua kudownload movie bure..

I'd like to offer everyone best wishes for the 2012!!
 
Never have I watched the Movie..... What's it about (in brief and your own words if you don't mind);

BTW Piracy is inevitable.... If you really are into movies (take note za inchi za nje)
 
Never have I watched the Movie..... What's it about (in brief and your own words if you don't mind);

Nisingependa kumwaga mtama hapa..kwani JF ni jukwaa kubwa lenye mitazamo mingi... Ningependa watu hasa wanaume waangalie na kutafakari na kujibu maswali yao wenyewe...

At glance:

Binafsi nimeipenda hiyo movie kwani inajibu maswali yenye kuhusu..

  • Kujijua wewe kama Mwanamme na sehemu yako kwenye familia..
  • Ushirikiano na Mapenzi ya kweli kwenye familia hasa wakati wa dhiki..
  • Je' akiondoka yule unayempenda ndiyo mwisho wa furaha? na kuchanganyikiwa au ni blessing ya kujijua ulifanya makosa gani?
  • Je' commitment ya marriage sometime inapitwa na wakati? Au labda kweli wanaume tunaitaji Resolution..tena mbele ya publlic ya kuwa tutajitoa muhanga kwa familia zetu...
  • Lakini Resolution hizo hata kama zikiwa mbele ya public ni bure kama Hutashindwa kupambana na challenges zake..
Ni hayo machache kwa sasa...
 
Kwa mktadha huo it has to be a Great movie, na sasa rasmi it is on my "to watch List" Thank you.
 
On your list add this movie as well CRAZY STUPID LOVE

The title tu yanichanganya kua it has to be good, niongeze list thou....
Infact am about to order soon (thou sitegemei kuzipata karibuni)
walau nikiagiza nyingi hata zingine zikikosa ni pouwa.
 
kila mwanaume anatakiwa kutazama movie hii.......

1........................
 
  1. The God Father - About Family... About Live.... About dirty Politics.... About Women and Men. About Life.
  2. Escape From Sobibor - Nationality and Absolute leadership.
  3. Invictus - The power of Sports and how its unique language cuts accross race all over the world.
  4. Hangover 1&2 - Some times it's good to live your life at the moment, regardless your responsibilities.
  5. The other bohemian girl - The power of Women in politics and how they could change History forever.
  6. Vantage point - Life and events have several sides of the story, both a bit accurate.... Be very wise before making decisions....
  7. .......
 
Ntafanya hivyo

  7. John Q?
 
Ntafanya hivyo

Naona umetaja "John Q" Kweli wampenda the Boss because of Denzel.....lolz

Hio inaonesha the way a Great Man is supposed to Be. Family comes first No matter What! You fight hata kama you are fighting the Government....
 
Unaniwekea maneno mdomoni mweeh
Nakuja kukusuta na matarumbeta
Na pilau nshapika
Ngoja nimtafure King'ati

I miss King'.... Kweli vile Dah!

Enways Kongosho mie ni Movie holic! From holly wood to Bollywood to Miscellaneous....lol.. Hivo nimebahatika kuona nyiiingi.
 
Back
Top Bottom