Movement moja vision tofauti

Kamchoreshe shangazi kirusi mbilinyi!!!wakali wanarun town with no stress.....maisha mazuri!tabasamu kila wakati!

ha ha ha ha!!
maisha mazuri ya kujifaliji eeh..wadanganye wasiokujua wanaokuona kwenye luninga.
 
Unatamani kunijua sana!!!!mjue kijeba mbilinyi ndo utanijua mkali mimi!I run this town....

aya phd nimekubali wewe ndio unarun this town..
Ila punguza kugongea lift unapotoka inakuchoresha sana..ushauri tu!
 
aya phd nimekubali wewe ndio unarun this town..
Ila punguza kugongea lift unapotoka inakuchoresha sana..ushauri tu!

F.y.i hao madogo wanaojidai wanampa P.H.D lift ndo wanajichoresha kubabaikia mastar nimjuanyo PHD hatoki bila company na hata akisema hajisikii kutoka basi hao midananda watamtimbia mpaka home wamtoe ili nao nyota zing'ae kupitia mkali PHD!....nyota iking'aa mjini hapa ni raha sana!hulali njaa na pesa yako ukiwa mjanja ni kuisave tu!PHD siyo chizi magari na kama ulikuwa unadhani anategemea kununua gari leo au kesho utasubiri sana maisha kwake yanasonga!thamani ya nguo za PHD tangu mwaka uanze huu ni above 10m ndo ujiulize anashindwa kununua gari?
 
mbona hii ligi ya HEMEDI imeisha?????

Kwani wewe kau!Hemedi unamchukia?kwanini?usifuate mkumbo ukamchukia the entertaner ambaye hakuchukii!!!!mbilikimo mbilinyi anachukiwa na manigga mauso magumu kwakuwa kawasaliti!!!PHD hahusiki kabisa katika hii thread.....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom