Movement moja vision tofauti

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Kwa jinsi inavyoonekana ni kua MAGENGE YA VINEGA(mapacha,adili mkwela,peen lawyer,chief rumanyika mkoloni na wengine wengi) pamoja na SUGU walikua kwenye movement 1 lakin kila mtu alikua na madai yake mfano vinega(antvirus) walikua wanapinga unyonyaji wa mziki wakati sugu alikua ana fight dili yake ya malaria.
 
Hii ndio bongo! Wewe shinda juani unajifanya mkereketwa wenzako wana-make!
 
lakin wadau kama macho na masikio yangu hayanidanganyi nimewakumsoma na kumsikia sugu kuwa mambo yote muhmu waliyokuwa wanafight yamezingatiwa,kama ni kwali kwanin tusiwape muda thn tujue tumeliwa au? kulalamka hakupunguzi mauizo
 
Vinega wenyewe hii issue hawaielewi, sembuse wewe!??
Unaweza kutetea kua Sugu kalipwa hela yake ya Dili la Malaria, but nami naweza kuja na wazo kua mradi wa Malaria ulishapita, alicholipwa Sugu ni Rushwa iliyosingiziwa Malaria.
 
lakini akufanya vzuri kutowashirikisha vinega wote wakati ni kundi 1? Kama $ivyo ndo 2tasema kila m2 alikua anatafuta chake kwenye ile movement
 
vuteni subira,msikulupuke kuhukumu.watu walitumia akili ya ziada kufanya muafaka...mtajua tu kama ni maslai binafsi au ya mziki..
Sugu ni kichwa.
 
lakini mbona hajawashilikisha member wa kundi lake la vinega?
 
vuta subira mkuu,utaelewa kila kitu..kama unaipenda Vinega na muzik wa home utafurai mwenyewe,ila kama hauipendi unaweza ata kujinyonga.
 
acha izo Hemed.

Hemed amekujaje hapo???kampigie kura kili music awards...!!!!sugu kaingia chaka!wakali kibao walikuwa wanamchora alikuwa anaungwa mkono na maboya wenzake wasiokowa na mvuto masikioni wala machoni!!!!
 
sana tu kumbe alikua ana ishu zake huyu jamaa ameni disapoint sana

pole ila kama wewe kinega hii suluhu chukulia kama ushindi ugenini!!sugu mwenyewe haamini kama wajanja wamemchukulia poa!clouds wangeamua kumkazia hali yake ingekuwa taabani!
 
Hemed amekujaje hapo???kampigie kura kili music awards...!!!!sugu kaingia chaka!wakali kibao walikuwa wanamchora alikuwa anaungwa mkono na maboya wenzake wasiokowa na mvuto masikioni wala machoni!!!!

kwani atukujui!kukunyamazia si tulikuwa tunakuchora tu...

Eti kampigie kura!!si ukajipigie mwenyewe na ukoo wenu mnaofanana akili....ivi unadhani michongo iliyofanyika kukuingiza kwenye category wewe na wenzako msiokubalika tz atuijui!!au unataka tuchoreshane watu wajue?
 
lakini mbona hajawashilikisha member wa kundi lake la vinega?

Ile ishu ilikuwa inashugulikiwa kibunge sio kiraia. Na kilichokuwa kinajadiliwa sio VINEGA bali ni Malalamiko Sugu aliyowasilisha Bungeni katika Bunge lililoisha. Sema aliyo lalamikia Bungeni ndo hayo Vinega waliyo kuwa wanalalamikia. Bahati nzuri yote yametekelezwa. Vinega wana sifa lakini sio za kuingilia shughuli za Bunge. wakumbuke Mwenzao Mbunge. alimshirikisha mwenyekiti wake Mbowe na akamkubalia asaini.
 
mbona vinega hawajaafiki hyo ishu ya sugu
 
kwani atukujui!kukunyamazia si tulikuwa tunakuchora tu...

Eti kampigie kura!!si ukajipigie mwenyewe na ukoo wenu mnaofanana akili....ivi unadhani michongo iliyofanyika kukuingiza kwenye category wewe na wenzako msiokubalika tz atuijui!!au unataka tuchoreshane watu wajue?

Kamchoreshe shangazi kirusi mbilinyi!!!wakali wanarun town with no stress.....maisha mazuri!tabasamu kila wakati!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom