Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hili nitahitilafiana na wewe. Inawezekana una mapenzi binafsi na Lema lakini siamini kama jukumu la kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii linawezekana chini ya uongozi wa Lema. Lema inawezekana anafaa sana kwenye kuwajaza watu hamasa ya kufanya jambo fulani lakini siyo kutafakari na kuibuka na jibu jadidi lenye kutoa dawa mujarabu kwa matatizo ya watanzania wote.M4C ......! Hii movement was originated from the only 1 true God ambapo aliitumia musa ku-motivate wana wa israel misri paka nchi ya maziwa na asali, Sasa leo hii Mungu ameamua kumkabidhi kamanda Godbless lema(mandela II) ku-motivate ukombozi wa tz tunayoitaka.
M4C
solidarity forever.
HAHA......Nakumbuka multiple choice Qns ..halafu unaambiwa chagua lisiloendana na mengine...A,B or C?Tuanze na suala la mihimili.....
...... kijamaa, kibepari au kimajimbo?......
Nikisema kimajimbo namaanisha kuwa governor wa jimbo la pwani anaweza kuamua kufuata ujamaa, na governor wa jimbo la Ziwa nyanza anaweza kufuata mfumo wa kibepari.
Wote wanafuata ubepari.HAHA......Nakumbuka multiple choice Qns ..halafu unaambiwa chagua lisiloendana na mengine...A,B or C?
Wale wa US mtuambie Texas na Califonia wana synchronize vipi?
Wote wanafuata ubepari.
Texas hawalipi kodi, Cali wanalipa.
Texas hawaruhusu ucameroon, Cali wanaruhusu.
Texas hawaruhusu bangi, Cali wanaruhusu kwa matibabu.
Wote wanafuata ubepari.
Texas hawalipi kodi, Cali wanalipa.
Texas hawaruhusu ucameroon, Cali wanaruhusu.
Texas hawaruhusu bangi, Cali wanaruhusu kwa matibabu.
Shekhe tumezuiwa kuongelea Muungano,wakikusikia shauri zakoKatika hili nitahitilafiana na wewe. Inawezekana una mapenzi binafsi na Lema lakini siamini kama jukumu la kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii linawezekana chini ya uongozi wa Lema. Lema inawezekana anafaa sana kwenye kuwajaza watu hamasa ya kufanya jambo fulani lakini siyo kutafakari na kuibuka na jibu jadidi lenye kutoa dawa mujarabu kwa matatizo ya watanzania wote.
Umewahi kumuuliza Lema CHADEMA ina simamia ajenda ya majimbo, yeye anataka majimbo yawe mangapi Tanzania. Lema ana maoni gani kuhusu Muungano wetu na Zanzibar? Mabadiliko tunayoyataka ni zaidi ya vyama vyetu au watu tunaowapenda!!
M4C ......! Hii movement was originated from the only 1 true God ambapo aliitumia musa ku-motivate wana wa israel misri paka nchi ya maziwa na asali, Sasa leo hii Mungu ameamua kumkabidhi kamanda Godbless lema(mandela II) ku-motivate ukombozi wa tz tunayoitaka.
M4C
solidarity forever.