Movement for Change at work.....!!!!

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Sometimes we need to be very carefully, especially when we are dealing with people...because they always change...and they can go east and west following direction of wind. I really like the Movement (M4C) and we have to expand it to the village level because we know where CCM normally get their votes. I don't mean that we have succeeded to have all the majority in towns, but at least we can use very little energy to draw the minds of urban people compared to the rural people...

I suggest MOVEMENT 4 CHANGE to go and be established in Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Rukwa, Tanga and Coast regions and Some parts of Dar es Salaam. Even though its hard to be accepted by all people in all regions, but we know how citizens live difficult life and we know how CCM and its government have contributed by more than 100% to this poor life of ours. Through telling them how they have become poor, why they lack important and basic needs and how they purchase commodities at high prices and why there are inflation in each passing day, we may be able to draw their minds into reality; that CCM have made us to reach where we are and because it is the one which created all these, it can not step us ahead for the time being and even for fifty years to come....

I also suggest, if CDM as a party, has no enough resources, in terms of money, most of us who are willing to see a bright future for our children, we are able to contribute and share our poverty (the little money we have) to ensure that people are passing throughout the country and throughout the time to 2015 preaching to people how the ruling party in collaboration with its nonsense government have made this country poor and why there is no future if CCM will continue ruling this country..

YES WE CAN...TOGETHER WE SHALL BRING THE CHANGES WE NEED FOR THE FUTURE OF OUR NATION AND PROSPEROUS LIFE....GOD BLESS CDM, GOD CURSE CCM AND ALL ITS LEADERS.......
 
Well Said, what a situational analysis, Leaders take action. Big up STK ONE
 
nahisi mnachelewa kuanzisha mapambano baada ya level ya Zito kuanza kupoa
tafadhalini tuanze tena mapambano ya kumkomboa mtanzania
moto ule ule kasi ile ile
tupo nyuma yenu
 
Ulikuwa mfaidika wa mgawo wa jamaa nini? Yakupasa kutambua kuwa kila Chama kila utaratibu, Kanuni zake za kukiendesha. Wenzetu wa CCM walitangaza kuvuana Magamba, mpka leo bado magamba bado yamekwamia viunoni. Wakatuahidi maisha bora kwa kila Mtanzania tena kwa kasi, Ari na Nguvu Mpya mpaka leo Holaaaaaaaaaaaa.

Sasa kama ZZK alikwisha kukuahidi ujue Ahadi imeota Mbawa. Waacheni Jmaa wachange mbuga. Mambo yatayeyuka kama sera yao ya Ugaidi na Intelijensia ya Mapolisi-CCM. Tuliambiwa enzi za Karamagi, Ngeleja na sasa Prof. Muhongo kuwa mgao ni Historia leo tuko wapi? Nadhani tuwaamini hawa CHADEMA wachape kazi. Wakisemacho ndo wakitendcho.

Kwa vile walikaa vikaoni na Uamuzi ukawa wa pamoja nadhani tuwaache waendeleze operation safisha chama. Katika "Criminology" Mhalifu hujipanga kuficha ushahidi. Na kuweka mazingira ya yeye kuonekana hahusiki. Poleni sana lakini hiyo ndo hali halisi.
 
Chama kwisha, wataishia kuzomewa. Siasa za bongo chadema mpaka sasa wamebugi

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
Ulikuwa mfaidika wa mgawo wa jamaa nini? Yakupasa kutambua kuwa kila Chama kila utaratibu, Kanuni zake za kukiendesha. Wenzetu wa CCM walitangaza kuvuana Magamba, mpka leo bado magamba bado yamekwamia viunoni. Wakatuahidi maisha bora kwa kila Mtanzania tena kwa kasi, Ari na Nguvu Mpya mpaka leo Holaaaaaaaaaaaa.

Sasa kama ZZK alikwisha kukuahidi ujue Ahadi imeota Mbawa. Waacheni Jmaa wachange mbuga. Mambo yatayeyuka kama sera yao ya Ugaidi na Intelijensia ya Mapolisi-CCM. Tuliambiwa enzi za Karamagi, Ngeleja na sasa Prof. Muhongo kuwa mgao ni Historia leo tuko wapi? Nadhani tuwaamini hawa CHADEMA wachape kazi. Wakisemacho ndo wakitendcho.

Kwa vile walikaa vikaoni na Uamuzi ukawa wa pamoja nadhani tuwaache waendeleze operation safisha chama. Katika "Criminology" Mhalifu hujipanga kuficha ushahidi. Na kuweka mazingira ya yeye kuonekana hahusiki. Poleni sana lakini hiyo ndo hali halisi.
Mimi CDM nakipenda lakini kwa hili siliungi mkono sababu limekaa kifitina kuliko uhalisia kwa nn kila inapo karibia uchaguzi ndani ya chama mtu akitangaza nia ya kugombea u\kiti migogoro inaanza haya yalitokea pia kwa marehemu Chacha wangwe .Mbowe hatatufikisha!
 
Back
Top Bottom