moved:C.W.T vipi mbona kimya?

IBRAAH

Senior Member
Aug 3, 2012
161
47
baada ya mahakama kuwaamuru walim wrudi kazini chama cha walim tanzania kilisema kinakta rufaa na watatujulisha nini kinaendelea.na kudai endapo serikali haitakuja na nyongeza nono mgomo utaendelea.swali: mbona kimya hadi leo au ndio mmesha tulizwa maana hamtuelezi ninikinaendelea tangu tunaomba majibu maana viongozi wengine wa cwt wanapatikana humu jf.
 
Back
Top Bottom