Motokali Inahitajika !!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
Waungwana kuna rafiki yangu yuko mkoani hana connection na mtandao kwa hiyo katika ongea naye ndio akanigusia juu ya uhitaji wa gari kwa ajili ya kumsaidia mke wake mambo ya hapa na pale ikiwa ni pamoja na kumfikisha kibaruani kwake. Sasa ameniomba nimsaidie kumtafutia nami najua humu jamvini kuna watu wakila aina ya msaada hivyo nawasilisha kwenu.


  • Bajeti yake ni 4.5m hadi 5.0m
  • Aina ya gari-yoyote mke wake anayoweza kumudu hata akiwa pekee yake i.e fuel consumption na upatikanaji wa vipuli.

wako msaada wenu!!
Asanteni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom