Moto wateketeza nyumba Mbezi Beach

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba mbili zilizopo eneo la Goig Mbezi Beach , jijini Dar es Salaam, jirani na ofisi za Seven Estate Agent na kuteketeza sehemu kubwa ya nyumba hizo na baadhi ya mali zilizokuwemo ndani yake. Chanzo halisi cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja ingawa inadaiwa kuwa huenda ilikuwa ni shoti ya umeme. Hakuna mtu yeyote aliyedhurika na moto huo.
Kikosi cha zimamoto kilifika katika eneo la tukio wakati nyumba zote zimeshatea.
Habari zaidi katika picha
 

Attachments

  • DSC02482.JPG
    DSC02482.JPG
    39.1 KB · Views: 79
  • DSC02484.JPG
    DSC02484.JPG
    52 KB · Views: 79
  • DSC02485.JPG
    DSC02485.JPG
    50.2 KB · Views: 80
  • DSC02486.JPG
    DSC02486.JPG
    49.6 KB · Views: 70
  • DSC02487.JPG
    DSC02487.JPG
    52.4 KB · Views: 74
  • DSC02488.JPG
    DSC02488.JPG
    47.1 KB · Views: 70
  • DSC02489.JPG
    DSC02489.JPG
    18.6 KB · Views: 71
  • DSC02491.JPG
    DSC02491.JPG
    24.4 KB · Views: 68
  • DSC02492.JPG
    DSC02492.JPG
    14 KB · Views: 70
  • DSC02494.JPG
    DSC02494.JPG
    24.2 KB · Views: 68
  • DSC02495.JPG
    DSC02495.JPG
    24.9 KB · Views: 59
  • DSC02496.JPG
    DSC02496.JPG
    42.5 KB · Views: 64
  • DSC02498.JPG
    DSC02498.JPG
    35.5 KB · Views: 65
  • DSC02499.JPG
    DSC02499.JPG
    54.2 KB · Views: 62
  • DSC02500.JPG
    DSC02500.JPG
    45.7 KB · Views: 61
  • DSC02501.JPG
    DSC02501.JPG
    29 KB · Views: 67
  • DSC02502.JPG
    DSC02502.JPG
    39.7 KB · Views: 55
  • DSC02503.JPG
    DSC02503.JPG
    34.6 KB · Views: 68
  • DSC02510.JPG
    DSC02510.JPG
    46.9 KB · Views: 71
  • DSC02511.JPG
    DSC02511.JPG
    50.3 KB · Views: 73
  • DSC02514.JPG
    DSC02514.JPG
    44.9 KB · Views: 75
  • DSC02518.JPG
    DSC02518.JPG
    50.4 KB · Views: 85
  • DSC02519.JPG
    DSC02519.JPG
    42.7 KB · Views: 87
  • DSC02520.JPG
    DSC02520.JPG
    51.9 KB · Views: 136
  • DSC02521.JPG
    DSC02521.JPG
    46.8 KB · Views: 99
Poleni sana wahusika. Ni vizuri kuwa na utamaduni wa kuwa na fire extinguishers majumbani au maofisini mwetu, tukafundishana jinsi za ya kuzitumia zitatusaidia kuukabili moto katika hatua za awali.
 
pole sana, kuna umuhimu wa kuwa na bima!

Sahihi lkn bima wenyewe alivowasumbufu kwenye ullipaji mhhhhhhh angalia bima za magari tu,hawakawii kukwambia moto ulisababishwa na wewe mwenyewe kwa kuweka nyaya fake/below kiwango so no malipo!
 
Idara ya zima moto na zinazosharabiana, zina wajibu wa kulinda wananchi na raia wake dhidi ya majanga yatokanayo na moto!! Wabuni mbinu za kuwafundisha wananchi namna ya kukabiliana nayo, pamoja na hayo lakini pia ni mhimu kuwa na sheria zinazowataka watu wafahamu na kuwa na fire extinguisher majumbani!! Hii iwe ni lazima kwa kila corridor/chumba kwenye nyumba yeyote ile. Itasaidia kuokoa mali za watu, itajenga ajira na kupanua wigo wa wadau kuweza kufahamu namna ya kujilinda na majanga yatokanayo na moto.
 
Poleni sana wahusika. Ni vizuri kuwa na utamaduni wa kuwa na fire extinguishers majumbani au maofisini mwetu, tukafundishana jinsi za ya kuzitumia zitatusaidia kuukabili moto katika hatua za awali.

...Umenena vyma mkuu. Tatizo ni kwamba sisi wabongo tulio wengi tunadhani kuwa kitu kama Fire Xtinguisher ni Anasa ama kwa ajili ya maofisini tu. Kuna 'Mioto' mingi tu ambayo ingeweza kudhibitiwa mapema kabla ya kuleta madhara makubwa iwapo tu kungekuwa na vifaa vya kuzima moto ndani ya nyumba zetu na magari yetu.
 
Lait kungekuwa na Fire Xtinguisher moto ungezimwa hatua za awali.
 
Back
Top Bottom