Moto Waripuka Kasulu

AljuniorTz

JF-Expert Member
Jan 6, 2009
544
17
Moto mkubwa umeripika ktk sheli ya mafuta kasulu mjini mida ya saa 12:30 jioni, mpaka sasa hakujawa na taarifa rasmi ni watu wangapi wamekufa au kujeruhiwa ila moto bado uanendelea kuwa japo kasi yake imepungua kwa kiasi kikubwa.
Hotel ambayo nimefikia (Mara Lodge) imeponea kwa kudra za mungu lakini hotel ya jirani yetu (marine lodge) imeungua fance na sehemu ndogo eneo la mbele.

Chanzo cha moto huo hakijajulikana rasmi ila moto ulianza karibu na tanker iliyokuwa imeshamaliza kumimina mafuta ktk mapipa na kuunguza gari zima na kuhamia ktk mapipa ya sheli yenye mafuta na kuzua kizaa zaa kibubwa hapa town. Kwa mujibu wa wakazi wa hapa halmashauri nzima ya mji haina zimamoto na wala hakuna shirika lolote lenye zimamoto japo la dharura (kuna unhcr, world vision, irc, red cross n.k)

Nimeshindwa ku-upload picha bcoz nimetumia cm kutuma info hii.
 
DSC00244.JPG

DSC00247.JPG

Hizi ni baadhi ya picha nilizoweza ku-upload.
be blased
 
ni kawaida ya nchi yetu ni rahisi zaidi kupeleka maji ya kuoga kwa mukulu fulani kuliko kuhodhi majanga
 
Wanasiasa walioko madarakani kwa ahadi ndiyo wenyewe lakini kutatua matatizo huwasikii hata kidogo..........
 
Yeah baada ya kuungua sasa watanunua Zimamoto maana sisi waTZ mpaka kitu kitokee ndo tunakumbuka shuka.
 
Back
Top Bottom