Moto walipuka chini ya mti Arusha karibu na kituo cha Sabena.

Ama kweli Tanzania yetu bado ni giza tupu!

Lusambo!
Tunakutegemea kwa picha kwani ktk pilika hii gari yangu imegongwa na ile gari la fire nikiwa hapo.

Ntarudi after!!

Pole sana mkuu net ndiyo inaleta longolongo lakini mtukio yote yamehifadhiwa tayari kupostiwa tu mkuu.
 
Pole sana kamanda, huwezi amini vijana wamefanikiwa kuuzima na huku wakipiga piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz
 
niliona gari la zima moto likipita likivuja maji barabarani

Linaweza kufika eneo la tukio likajikuta yotr yameishia njiani kisha inabidi rirudi tena kuchukua mengine ambayo nayo tayaishia njiani!!
 
Mara ya kwanza Fire zilikuja na maji machache zikashindwa kuuzima lakini wananchi kwa pamoja waliungana na kuuokoa msikiti uliokuwa karibu kuuanza kuungua.....sasa baada ya fire kushindwa kuzima na polisi kubaki wakishangaa wasijue la kufanya ndipo wananchi walipo shirikiana na kuuzima moto baada ya kuuzima gafla polisi wakaanza kuwasukuma wananchi ndipo wananchi wakaanza kuimba peoples Power wakiwa na maana umezimwa kwa nguvu ya umma.....wakaanda mbali kabia baada ya kuwaambia wakalete yale magari yao ya maji ya kuwasha ili yatumike kuzima moto

Nawakubali sana machali wa A-Town, Wanaleta habari kwa uhakika pamoja na Picha. Thanks Machali wangu wa A-town.
 
Arifu ni aje arachuga kunaendelea mnama?jombaa mliopo huko wekeni masnepu basi.
 
Pole sana mkuu net ndiyo inaleta longolongo lakini mtukio yote yamehifadhiwa tayari kupostiwa tu mkuu.

Mi baada ya jamaa kuniparaza upande wa kulia mwa gari langu nikawa nimetoka na kwa muda huu nipo huku garage nafanya mpango na fundi wa bodi namna ya kuinyosha!

Hebu tujuze chanzo yote ya janga hili ni nini Lusambo kwa news ulizonazo!
 
Mara ya kwanza Fire zilikuja na maji machache zikashindwa kuuzima lakini wananchi kwa pamoja waliungana na kuuokoa msikiti uliokuwa karibu kuuanza kuungua.....sasa baada ya fire kushindwa kuzima na polisi kubaki wakishangaa wasijue la kufanya ndipo wananchi walipo shirikiana na kuuzima moto baada ya kuuzima gafla polisi wakaanza kuwasukuma wananchi ndipo wananchi wakaanza kuimba peoples Power wakiwa na maana umezimwa kwa nguvu ya umma.....wakaanda mbali kabia baada ya kuwaambia wakalete yale magari yao ya maji ya kuwasha ili yatumike kuzima moto

:bump2:
 
Pole sana kamanda, huwezi amini vijana wamefanikiwa kuuzima na huku wakipiga piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz

Nashukuru sana Kiongozi!

Yani huyo driver wa lile gari aina ya Benz hakuwa na subira kbs na hata hivyo kuokoa hajaokoa lolote zaidi ya misifa tu na akaniharibia ile kimotokaa changu ambayo unaijua mwenye Kiongozi. Na kw muda huu nipo huku garage Kiongozi wangu!

Dondosha picha ya mtukio Kiongozi wangu!
 
Moto man ndo umeunguza maduka ya hapa chini ya mti karibu na msikiti,arifu hawa fire wanatuekea maganzi tu hopeless kabisa hawa jamaa.
Arifu ni aje arachuga kunaendelea mnama?jombaa mliopo huko wekeni masnepu basi.
 
Photo-0044.jpg Photo-0043.jpg
Photo-0045.jpg Photo-0047.jpg Baadhi ya picha za matukio ya moto Arusha
 
Nashukuru sana Kiongozi!

Yani huyo driver wa lile gari aina ya Benz hakuwa na subira kbs na hata hivyo kuokoa hajaokoa lolote zaidi ya misifa tu na akaniharibia ile kimotokaa changu ambayo unaijua mwenye Kiongozi. Na kw muda huu nipo huku garage Kiongozi wangu!

Dondosha picha ya mtukio Kiongozi wangu!
Mkuu leo sikuwa na kamera lakini nimetumia kimchina changu picha hizo hap juu
 
Nimeshuhudia pia,ila ndo hvyo. Vibaka nao kama kawa,nimesikia wamefanya kazi yao,kama mtu hana moyo wa kusaidia si bora asinde katika eneo la tukio kabisa?
 
Ni kweli kwetu sisi hapa Arusha ni salamu tu na pia ndiyo kauli mbiu yetu ktk mkusanyiko wa kijamii ili kuwezesha jambo fulani lifanyike kwa pamoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom