Moto wa kweli wawaka: Walokole na Mchawi walipopambana Dar

Mh!Inachekesha sana,hawa jamaa utafikiri machizi!,Tunachukuru kwa picha mtoa ujumbe!
 
Ah! Mi sijui ma-eyes yangu yako na problem sioni kitu mbona??:mmph::mmph:
 
Ngoja nifanye UKABILA heheheheeeeeee.......

Huyu Mganga wa Tabora sehemu iitwayo Itaga anasema kweli ....

Muwamba ngoma huvutia kwake.......... Msiniulize zaidi.
 
Ngoja nifanye UKABILA heheheheeeeeee.......

Huyu Mganga wa Tabora sehemu iitwayo Itaga anasema kweli ....

Muwamba ngoma huvutia kwake.......... Msiniulize zaidi.

Mkuu Sikonge inaonyesha wewe mtu wa Tabora kasheshe kweli kwenu huku kuna waganga heavy
 
Back
Top Bottom