Moto wa CHADEMA wazidi kuipasua kichwa CCM jijini Mwanza

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu heshima mbele,

Kama mnavyo fahamu kuna uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Kirumba jijini Mwanza kufuatia kifo cha diwani Novatus Manoko(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.CCM wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanaichukua hiyo kata huku CDM wakiwa wamejizatiti vilivyo kila idara kutetea kiti chao.CCM sasa wanahaha na mapingamizi ili mgombea wa CDM bwana DANN KAHUNGU aenguliwe,pingamizi la kwanza limetupiliwa mbali leo na afisa mtendaji wa kata ya Kirumba lakini CCM wamekata rufaa kwa Mkurugenzi wa jiji.Nitaendelea kuwapeni updates but inshort CCM tumewakamata sa.bu.ri,yaani ni man to man.

Hakuna kulala mpaka kieleweke...


Nawasilisha

UPDATES:


Mkurugenzi wa jiji la Mwanza ametupilia mbali pingamizi la CCM dhidi ya mgombea wa CDM.Sasa makamanda tunaingia kazini rasmi..Yaani hapa Kirumba ni full shangwe sasa hivi...Peopleeeeeeeeeees...Poweeeeeeeer.
 
Hawa magamba mbinu zao tunazo kitambo sana mifukoni!

Hawana lao tena hapa Nchini nawahakikishia!
Hawa tunawatupilia mbali kama vile kumsukuma mlevi wa gongo vile!

Huu msako tukiwa wana wa CDM tutaendeleza mpk 2015 na tunafanya mipango wa kuitafutia jina la kudumu!
Kwani msako wa lango hadi lango ni lazima na itadumu!
 
Huwezi amini chama cha magamba sasa kinategemea mapingamizi!!!
 
Nadhani JK akisikia CDM lazima ashituke kidogo. Nape alisema CDM watacheza muziki wetu na si sisi kucheza musiki wao lakini naona hadi leo hajaanikiwa hilo.
 
2po pamoja makamanda,huku arumeru hawahemi

Hawa tunawazima ful! Hawana mbinu tena.
Mbwa mzee kumfundisha sheria mpya ni kazi kweli kweli!

Eti wanawaletea wanainchi magari ya washawasha utafikiri tuna vita hapa Meru!
Ila safari hii watashanga na roho zao ya ufisadi uliokubuhu!

HATA SIKU MOJA HAKI HAIJAHI KUSHINDWA!
 
Mashariki, Magharibi, kusini na kaskazini bado CCM ni Imara na itaendelea kuwa Imara mpaka mwisho wa dunia.
 
Halafu ukiona mtu yeyote anayeshabikia ccm ujue huyo ni mwizi na jambazi wa haki za wanyonge,na ajue mbele za Mungu atajibu yote.
 
lazima uelekee milembe,kwani ukiona mtu anasema maneno kama hayo ujue amefyatuka,kakojoe ukalale
 
Mashariki, Magharibi, kusini na kaskazini bado CCM ni Imara na itaendelea kuwa Imara mpaka mwisho wa dunia.

Are you really a great thinker? If the answer is YES, give reason for your arguments. Sio kusema chama cha magamba kitaendelea kutamba hadi mwisho wa dunia, KIKWETE anakulipa kiasi gani kwa kushabikia ujinga? Umeachwa sana. Tena bora hata ungelikuwa unajua kuwa upo nyuma, mbaya zaidi haufahamu kama wakati hauko upande wako tena..... very soory, utashtka tumefika MAGOGONI.PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSSS..... POWERRRRRRRRRR...NDIYO MTINDO WA KISASA......!!!
 
Back
Top Bottom