Moto wa CHADEMA Morogoro magamba tumbo moto

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Wapendwa,

Kasi inayoonyeshwa na makamanda wapiganaji wa Chadema Morogoro inawatisha chama cha Maumivu au Magamba kiasi kwaba wanakesha wakiweka vikao vya kuwarubuni Vijana,Wanawake na Wazee waliochoka na Siasa za majitaka za Magamba. Wiki takribani tatu hivi maelfu ya wana Morogoro waishio kata ya Kichangani walijitoa kujiunga na chama cha CDM.

Sasa taarifa za uhakika last week kuna watu hao wanashawishiwa kwa udi na uvumba kwa fedha kurudisha kadi za Chadema na kati ya watu ambaye anafadhili mradi huo ni Mheshimiwa aliyepita kwa staili hiyo hiyo mwaka 2010 ambaye sasa ni mwakilishi wa wananchi.

Napenda kulieleza hili gamba linaloona kwamba linafedha za kutawanya aache mara moja maana moto unazidi kuwaka katika kata zingine na hii inaonyesha jinsi gani asivyojiamini katika uongozi wake,na pia naiomba Takukuru ifanye kazi yake na wasisubiri 2015 ndipo waanze kuviziana na wagombea wa magamba maana hao ndio wataaluma wa kuhonga.

Wanachama wote na wapenzi wa chadema tunaomba mtuombee maana vita hii na kwa ajili ya ukombozi wa Taifa hili linalokwenda Mrama.

Nawakilisha,
 
*Ni mbunge gani huyo anayegawa hizo pesa chafu? au ni yule mfanyabiashara mkubwa! Kiukweli, siku za magamba zinahesabika. Wanasubiri tuwapeleke kule alikopelekwa King Louis VX1 na mkewe Mary Antoinette baada ya French revolution.
 
hongereni na heko kwenu wana Morogoro.
Enyi ccm mbona mnajichosha hivyo watu tumeshachoshwa na ufisadi wenu. Kwa taarifa yenu mjue hatudanganyiki tena lakini hizo pesa zenu tutazila kama kawaida nyie endeleeni kutuhonga. CDM ndo chaguo letu.
 
RIP Mtema, morogoro uliyoipenda iwe itakuwa, CDM itakukumbuka daima. Harakati za Mama Kiwanga viti maalumu CDM tunazitambua
 
Viva Makamanda wa Chadema!

Hilo zoezi linaitwa ni MSAKO wa NYUMBA HADI NYUMBA mpk kieleweke!

Tutaombeana sana Usiku na Mchana kwani hakika siku zote Haki hajawai kushindwa!

Pamoja sana Makamanda! Viva CDM!
 
Mkuu huyo Mbunge muweke wazi ili ajue kabisa kua mbinu zake chafu zimegundulika!pia kama vipi vijana wale tu hzo hela za wajinga!
 
Pipoz.......... Pawa....! Jamani makamanda mje na huku home mazimbu mtanikuta kamanda hapa ili 2teme sumu kwa pamoja koz huku mtaani magamba yamejaa sana, so itabidi mje makamanda 2pige msako kwa pa1.
 
inadaiwa mh Aziz Abood ndio ametoa FUNGU kurubuni vijana hao kurudisha kadi za CDM, ila harakati za CDM mkoani mle zinawatisha sana, walizoea kushinda chaguzi kilaini sasa wanaanza kuhisi joto la mabadiliko
 
Morogoro mmefunguka sasa msidanganywe ma mabasi mekundu kuwa mtasafirishwa bure Moro to Dar
 
Morogoro mmefunguka sasa msidanganywe ma mabasi mekundu kuwa mtasafirishwa bure Moro to Dar

nimependa mabadiliko ya wanamoro nipo moro maeneo ya bigwa,guwezi amini walipopadisha bendera chadema na magamba nao wakatumwa na kupandisha ya ccm,huweziamini bendera za magamba zote zimeanguka,kwali siku ya kufa nyani miti yote hutereza,mwaka wa mapinduzi umefika VIVA CHADEMA
 
Back
Top Bottom