Moto unateketeza Yadi ya Matruck Sokota

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Moto mkali unawaka hivi sasa katika yadi ya malori makubwa eneo la sokota jirani na kituo cha mafuta cha Camel Oil kama unaelekea Serenget Breweries...hakuna fire& rescue wananchi wanahangaika kuokoa mali..ni mshikemshike...
 
Kuna yadi maeneo ya Tazara karibu kiwanda cha Nondo cha Gupta na ALAF inaungua.
 
Fire brigade wameshafika? Kama bado nenda kituo cha Polisi kilicho karibu nawe ukaripoti, mimi ningeenda lakini nahofia isije ikawa uzushi maana siku hizi JF inaruhusu yote tu bila kujua la uongo na la ukweli, mfano taarifa ya kigogo aliyefumaniwa na mke wa askari singida
 
Na foleni ya Tazara,hadi fire wafike ishu,na watafika hawana maji!?
 
Fire brigade wameshafika? Kama bado nenda kituo cha Polisi kilicho karibu nawe ukaripoti, mimi ningeenda lakini nahofia isije ikawa uzushi maana siku hizi JF inaruhusu yote tu bila kujua la uongo na la ukweli, mfano taarifa ya kigogo aliyefumaniwa na mke wa askari singida
Mkuu.jf watajuaje kama ni uzushi ama sio.u mean wataverify kila post??
 
Back
Top Bottom