"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

attachment.php

Picha hazina matatizo, hiyo ilikuwa MASQUERADE BALL kwa hiyo mtu anaweza kuwa na yeyote. Tatizo ni kama ndoa ilifanyika kwanini aikane?

Hii ilikuwa engagement party ya Mengi na Lilian Kimaro, Kinondoni.
 
babu anatokota kabisa sasa mahaba yanazidi kumchota mzee wetu / yaelekea vitoto hv vina utundu balaa!!!
 
Jamani, who really cares kama Mengi kaoa au hajaoa? This is so ridiculous now.....

Nimeuliza kwa Sababu Huyu mengi ni ameajiri watu wengi na anamakampuni mengi na na yeye na mkewe mercy ni waanzilishi na hata kwenye Forbes Africa 2014 walimwandika mkewe Kama separated and walimwita estranged wife ( inamaanisha mercy ni mkewe ila no sex yaani mkewe hataki kuguswa kimapenzi ).Klyn anamiaka 35 na mengi 73 .Hii ni Anna Nicole smith situation .Itakuwa tatizo kubwa Kama mengi na mercy ni sole owner wa makampuni.Kama makampuni yanaongozwa na stock holders Hilo sio tatizo .I care less about sex life Yao Mimi naulizia impact uongozi wake na employers wake .Huyu ni mtoto mdogo mnoo ( almost my age ) .Mwanaume akifika 50 age magonjwa yanaanza Mara migingo,prostate .Nothing attractive about a 73 years old men
 
Donald' trump alisema wanaume kujikinga na wanawake wanaopenda pesa inabidi prenuptial agreement .sijui wanaume wataelewa lini .I can't imagine nisikie baba angu KAOA mtoto Kama klyn .nitaua
 
Nimeuliza kwa Sababu Huyu mengi ni ameajiri watu wengi na anamakampuni mengi na na yeye na mkewe mercy ni waanzilishi na hata kwenye Forbes Africa 2014 walimwandika mkewe Kama separated and walimwita estranged wife ( inamaanisha mercy ni mkewe ila no sex yaani mkewe hataki kuguswa kimapenzi ).Klyn anamiaka 35 na mengi 73 .Hii ni Anna Nicole smith situation .Itakuwa tatizo kubwa Kama mengi na mercy ni sole owner wa makampuni.Kama makampuni yanaongozwa na stock holders Hilo sio tatizo .I care less about sex life Yao Mimi naulizia impact uongozi wake na employers wake .Huyu ni mtoto mdogo mnoo ( almost my age ) .Mwanaume akifika 50 age magonjwa yanaanza Mara migingo,prostate .Nothing attractive about a 73 years old men

Suala la Mengi na iliyokuwa ndoa yake ya kwanza ni old story...ukurasa wake ulishafungwa, isitoshe ni jambo binafsi!
Biashara za Mengi na makampuni yake hafanyi kama wanavyofanya watembeza karanga bara barani...atakuwa na legal officers wanaomshauri accordingly.
Tatu hakuna mzani wa kupima mapenzi kwa uwiano wa umri, tarakimu unazozitaja tambua ni namba tu hazina impact yoyote kwenye fungamano la watu wawili.
Mwisho ni kwamba wakati choko choko hizi zinaanza Mzee wa watu hakuwa amefunga ndoa na binti tajwa ila kwa sasa ni mke na mume officially na suala la mirathi and likely si la kujadili kwa kuwa kufanya hivyo ni kumchuria mzee wa watu kwamba sasa yuko kwenye terminal ya umri wa kufa ilihali hakuna ajuaye umri wake wa kufa ni miaka mingapi!
 
ukitaka kumfahamu huyu mengi dai chako,pana rafiki yangu alikuwa mpambe wake kazi yake ilikuwa kupeleleza habari za manji.hili nina ushahidi nalo kwani jamaa alipeleka kwa mengi ili wakamalizane cha kusikitisha ni kuwa hakupata haki yake licha suala lao kufika hadi kwa jk.kwa kifupi mengi anataka wananchi wamwone kama anaonewa.

Pimbi wewe jee hao wananchi wakishamuona ana onewa what next.?
 
Haya mzee Mengi kaoa tena hii sasa ndoa ya tatu na anapenda kuoa karibu na chaguz ili aseme wanamchafua
 
Kuna msemo unasema nyani halioni kundule,maana wana tabia ya kumsema mwezie na kumcheka kuwa wowowo lake ni baya na kucheka kwa kuonesha kidole lakini halioni lake ambalo ndio baya zaidi

Uandishi wa Tanzania ni wa udaku daku na ili ku survive wasomaji wachache waliopo inabidi story nyingi za magazeti ziwe za udaku udaku na kutunga ili biashara ifanyike . Hii ni kwa magazeti yote hata This DAy
Nipashe
Guardian
Hata ITV nayo pia imo katka kusoma habari za uchochezi na fitina ya wananchi dhidi ya serikali yao au waziri au kiongozi au mfanya biashara hasimu wa MEngi

Kwanza angesafisha vyombo vyake then ndio aseme wenzake, MEngi akumbuke vita vya ufisadi ni kwa wote hata yeye akihusika atasemwa , kwenye hilo nadhani hayupo immune.
Hizo tuhuma anazotaja njia nzuri ni kuzijibu kwa hoja , mfano ya ufisadi wa fedha za AIDS hizi waandishi waliibua hizo fedha na wakatoa ushahidi , kama ni uongo kwa nini asiwashtaki ?
Kuna wakati ilitolewa ripoti ya kiuchunguzi kuonesha account ikiwa na mabilioni ya shillingi ya misaada ya ukimwi ikiwa kwa jina la mengi lakini fedha hizo zikitolewa kifisadi na sio kwa ajili ya ukimwi na wafadhili wakidhani fedha zao zinatumika kuwasaidia waathirika. Baada ya kutoka ufisadi huo Mengi alicho jibu yeye haijui hio account na sio yake !
Kweli inawezekana ? Uchunguzi ulifika wapi kuhusu hili ?
Mtu msafi anajulikana wala hana haja ya kujiosha bali jamii inamuona tu kuwa huyu ni safi
 
Hata kama wana ndege hayamhusu ni za kwao mbona yeye anavyotumia brand za watu hatusemi ?? Radio 1 , itv si brand za watu wengine ? The gurdian si brand ya watu wengine ?? Kwanini asiwe mbunifu awe na vyake ??

Kutumia brand za watu kama unamakubaliano nao siyo kosa.Ubunifu bongo!! Wewe ulishawai kubuni nini? We Bwabwaja mwenzako ana make money.
 
Kutumia brand za watu kama unamakubaliano nao siyo kosa.Ubunifu bongo!! Wewe ulishawai kubuni nini? We Bwabwaja mwenzako ana make money.

Muulize kama huyo jamaa anasema mengi anatumia brand za watu anajua maana ya royalty huyo mkuu?
 
Haya mzee Mengi kaoa tena hii sasa ndoa ya tatu na anapenda kuoa karibu na chaguz ili aseme wanamchafua

Nimesikia redio free Africa ndoa ya 4 anakuoa wewe karibu na kipindi cha upigaji kura wa katiba mpya!nipe kadi ya double mama
 
Halafu waandishi wanalilia na kugaragara mpaka mataifa ya nje yanachungulia lakini hawaoni mateso! Hii yadhihirisha uhuru wa habari na kuandika upo tele mpaka mmekuwa wajinga na mazuzu kwa kutumika!
Watanzania kazi ipo, hadi eti mabalozi wa nje wanalalamika, huku wakina Spicer na wenzake wakifukuza na kuchaguwa maswali gani ya kumuuliza Trump?!
Upuuzi mtupu...
 
Back
Top Bottom