Moto umeteketeza ghala la sigara morogoro

Mwanaweja

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
3,575
523
kwa taarifa nilizozisikia kutoka ITV habari kwa saa moto umeteketeza ghala la sigara mkoani Morogoro na inavyosemekana maboksi mengi ya sigara yameteketea
 
Afadhali bhana labda huyu vasco da gama mtalii wa dunia atweza kosa nauli na posho za per dm ili atulie nyumbani,fegi na bia si ndio vyanzo vya kodi kwenye hii nchi...
 
Hao nao ni cancer tu wanasambaza makati hospital zenyewa ndo goi mama goi yaani msiba wa lofa,liungue tuu hilo ghala.
 
Back
Top Bottom