Moto uliounguza ikulu

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Hivi sakata la moto ulounguza study ya Mh. Mkapa pale ikulu liliishia wapi.

Je ulisababishwa na nini? inawezekana ikulu kukosa fire detectors?:hatari::flame:
 
Niliwahi kusoma kwamba moto ulisababishwa na "pasi".

Ikulu ya bongo inaweza kukosa maji, nini anasa za fire detectors.
 
Back
Top Bottom