Moto uliokuwa unawaka Soko la Ferry wazimwa!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Sasa hivi wametangaza radio one kuwa soko la ferry linateketea kwa moto. na vikosi vya uzimaji viko njiani kuelekea kwenye tukio, wenye habari zaidi watujuze
 
Habari niliyoisoma sasa hivi kupitia TBC1 zinasema kikosi cha zimamoto chafanikiwa kuzima moto huo.
 
Thanks God moto umezimwa... but things happen soooo fast!!! nilikua maeneo hayo only about 45 minutes ago na sikuona dalili, hii kali
 
Ila kuna vibanda kama viwili vya wakaangia samaki vimeteketezwa kwa moto huo..Thamani ya vilivyoungua itajulishwa baadae.Nadhani umezimwa mapema kutokana ukaribu wake na IKULU vinginevyo kungekuwa na habari tofauti...
 
Inasemekana moto huo umetokea kwa sababu ya uzembe kwani watu wameendelea kukaanga samaki hadi saa 3 usiku badala ya muda wa kawaida ambao siyo zaidi ya saa 2. Ila naona mambo yanakaribia nyumbani kwani next time sitashangaa kusikia na nyumbani kwa mkulu kunapata misuko suko.

Huu uzembe na ujinga vitatumaliza!
 
Back
Top Bottom