Moto mkubwa turiani waunguza lami Barabarani

Barabara ya lami imefika lini turiani ndugu yangu hadi iunguzwe na moto,hapo umechemka.Kwa taarifa turiani hamna lami labda kama si turiani ya morogoro,wilaya ya mvomero!!
 
Moto mkubwa umewasha kwa ajili ya kuchoma mapori barabarani hali hii ni tata ,wanamazingira mpo?
ungewaandikia kuwa kuna faru kafa barabarabi au tembo. au kuna mtu ana shingo za twiga sekunde ungewaona hapo. lakini hivihivi hata ungewaambia msitu wote unateketea watakwambia gari halina mafuta!
Je wananchi hawajachukua hatua yoyote hapo au hawana tija na pori hilo?
 
Back
Top Bottom