Moto maeneo ya Mikocheni eneo la viwanda

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,670
68,631
E bwana kuna tetesi kwamba kuna moto unawaka maeneo ya viwanda mikocheni karibu na ITV/TBC
mwenye data kamili atujuze

SOS: Status ya ROma Face book
 
East africa Radio wanasema ni ofisi za star times.
 
East africa Radio wanasema ni ofisi za star times.

Du ni nini tena tutafika kweli huko kwenye digitale maana washaanza kuhihujumu mapema star times,nasikia ni transforma limelipuka
 
Back
Top Bottom