Moto jengo la blue plaza-floor ya tatu

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,463
7,384
Jamani kuna moshi unatoka floor ya tatu hapa mjengoni,.floor inamilikiwa na hawa tanznite one.Lakn cha ajabu hawana hata fire extinguisher wameenda kuazima jengo la jirani.Kampuni ya ulinzi ya worrior inafanya juhudi ku-rescue situation.
 
eh hizi taarifa nyingine bwana usumbufu hata kuzisoma mtu analeta habari za tukio la janga la namna hii lakini haifafanui ni wapi tukio hilo linatokea je ni Arusha, Dodoma au wapi!! Tujaribu kuweleweshana vyema.
 
eh hizi taarifa nyingine bwana usumbufu hata kuzisoma mtu analeta habari za tukio la janga la namna hii lakini haifafanui ni wapi tukio hilo linatokea je ni arusha, dodoma au wapi!! Tujaribu kuweleweshana vyema.

hapo kwenye blue ndio penyewe....by the way-everything is under control
 
Back
Top Bottom